Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho.
Aristica Cioaba (45) anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben...
Wakati Yanga ikijiandaa kupokea kipigo kingine kwa Simba kesho,Mido wa Azam FC ametonesha kidonda kwa kuidharau Yanga.Abubak Sure Boy amenukuliwa na media akisema walikuwa waipige Yanga goli 7 ni...
The Federated States of Micronesia national under-23 football team maarufu kama Four Stars. Mnamo tarehe 3 July 2015 ilicheza mechi yake ya kwanza (Debut) dhidi ya Tahiti katika mashindano ya...
Niliwahi kusema hili katika post yangu titled "makocha wazawawa uingereza wanadumaza soka la nchi yao". Nilipata hofu kubwa juu ya mpira wa mazoea wa waingereza hasa kwa timu kama Arsernal...
Hakika kila mbabe ana mwamba wake, hivi ninavyoandika hii Dk 45 za first half zimemalizika na kwa kweli Azam ndio waliokuwa juu kwa kila kitu na kila idara.
Kumbe Yanga ni timu mbovu kiasi hiki...
Kombe la Mapinduzi linaendelea mjini Zanzibar na mechi ya kwanza siku ya leo ni Simba anakabana koo na Jang'ombe Boys. Suluhu au ushindi kwa Simba vitamfanya aongoze kundi, ushindi kwa Jang'ombe...
Nianze kwa kutoa Pongezi kwa Shirikisho la Mpira Uganda(FUFA),Jopo zima la Ufundi Timu ya Taifa chini ya Mtaalamu Micho Kashafundisha Yanga Huyu Na Kwa Timu Ya Taifa Ya Uganda(Uganda Cranes) kwa...
je, kutokana na ukata unaoikabiri timu yetu ya Yanga, kuna uwezekeno mechi ya Jana ikawa iliuzwa kwa timu ya Azamu?
hapa kuna uwezekano mkubwa kabisa ama wachezaji kununuliwa au makubaliano baina...
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam...
Haijalishi ni nani atamrithi , lakini naomba nikiri kwamba huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kufundisha Timu ya Taifa .
Hakuwahi kuwa na rekodi yoyote ya ubora kwenye kazi yake ...
Kigezo ni ujuzi wawapo uwanjani, ujasiri wa kufanya mambo tofauti na inavyo tarajia, japo wengi hawakupata nafasi vilab vikubwa.
1. Weah (liberia)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4...
Kama ni swala la kiufundi tunajua wazi hana uwezo huo. Kama ni swala umaskini wa TFF kwa kisingizio kocha mzalendo, mbona wapo wazalendo wengi wazuri kuliko yeye.
Je nini malengo ya TFF kwa timu...
Chinese club to offer Alli bonkers $1m per WEEK
A number of Chinese clubs are willing to offer Tottenham midfielder Dele Alli $1 million a week to move to their Super League. They are willing to...
Nanukuu...
BEKI mkongwe wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali leo amethibitisha tena kuwa anastahili kuitwa 'Baba mwenye nyumba' baada kuonyesha umahiri mkubwa kwenye mchezo wa kombe la...
habari wadau..
hivi lini mjomba magu anatimba TFF..
haiwezekani Uganda wapo milion 30 na wana shida zaidi yetu.. tumewazidi kila kitu lakini wao wanafanikiwa kuliko sisi..
Tff kuna jipu kubwa...