Siyo siri dua ya Wenger, na wenzake wa liverpool na man city ni kuwa chelsea ajikwae! Ule msemo kuwa wamechimba mashimo wakatumbukia wenyewe umetimia kwao. Wao wametangulia kudondosha pointi...
Waswahili husema udngo uwahi ungali maji, sijui wenzangu mnamuonaje huyu kipa mpya wa Simba nimeona makosa kadhaa ya kiufundi anayoyafanya na sijui kama waalimu wake wanayaona
Over confidence...
Kocha wa Yanga Mzambia Lwandamina hana tabia ya kuacha Kombe lolote lile anzia akiwa na Zesco ya kule kwao,Kila michuano anayoshiriki lazima abebe Kombe.
Na hata kwa Yanga itakua hivi hivi tu...
Naanza kwa kuulza:
1. Naomba nipate picha halisi yaa sakata la Okwi
2.Hatua gani zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya Katibu Mkuu wa Yanga aliye ishutumu vikali Kamat ya maadili, (kwan, Ulaya shutuma...
Baada ya Arsenal kumsajili Mswizi Granit Xhaka na Man Utd kumsajili Pogba Mfaransa. Mashabiki wengi wa timu hizi mbili walikua wakiona kwamba fulani kamzidi mwenzake uwezo wa kusakata kabumbu, ila...
Gurdiola amelazimika kutoa shikamoo ka EPL! Aliingia kwa mkwala akapiga mechi 5 mfululizo!
Waijuao EPL walijua atachemsha tu! Maana EPL so kama ligi ya ndondo ambayo ligi nzima timu za kueleweka...
Ifike mahali timu zetu za soka zicheze mpira na kuacha blaa blaa,pale Uingereza Jumamosi imechezwa michezo ya Ligi kuu tena ya Nguvu mfano liverpool Vs Manchester city.
Hizo hizo timu Tena Leo...
Kuna taarifa chini kapeti toka Azam FC kuwa Mkwasa ni kati ya makocha walioomba na anayepigiwa chapuo na baadhi ya "maofisa", kuifundisha Azam FC.
Hili ndio linaoloneka kuwa sababu kubwa ya Kocha...
Kelele zimekuwa nyingi mtaani, tuwe wakweli kati ya goli la Giroud - Arsenal na Mikhytarian - Man Utd lipi kali zaidi? Usibishane bila fact. Enockino nimeona post yako still watu hawajatiririka...
Kwa yeyote aliyesoma gazeti la Mwananchi la desemba 30, 2016 upande wa michezo atagundua kuna upotoshaji mkubwa uliofanywa na mwandishi wa habari za michezo wa mwananchi kwenye habari "Simba...
Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili.
Pastory Athanas. Stand united - Simba
Emmanuel Martin. JKU - Yanga
Venance Ludovick amesimamishwa kucheza VPL mpaka suala lake litakapokamilika kusikilizwa, mpaka sasa imebainika ni kweli ana leseni mbili zilizotolewa na TFF ambazo ni za kuchezea Mbao na African...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda (Interim coach), wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’.
Kocha Salum Mayanga anachukua nafasi ya Kocha Charles...
Kwa wale wanaofauatilia mpira mmekuwa mkiona wachezaji wakiingia na watoto uwanjani hasa wenzetu wa ulaya. Je hii huwa Ina maana gani na kwa timu za bongo mbona sijawahi kuona wakifanya hivyo?
Hii ilikuwa ni October 3,2016.
Na hii ni leo baada ya kumfunga Westham
Halafu mchambuzi uchwara mmoja huwa anashikilia tu takwimu za timu za wenzie ilihali hajiulizi Chama Lake limekaa namba...
Na Saleh Ally
JUMATANO hii, uongozi wa Azam FC ulitangaza kumfuta kazi kocha wake mkuu Zeben Hernandez.
Kama haitoshi ikawafuta kazi Msaidizi wake, Yeray Romero, Kocha wa Makipa Jose Garcia...
UFC's once-great hope Rousey suffers lightning-fast defeat
By Euan McKirdy and Jill Martin, CNN
Updated 7:34 AM ET, Sat December 31, 2016
JUST WATCHED
Ronda Rousey knocked out in...
Simba inamaliza mwaka ikiwa kileleni mwa msimamo baada ya takribani miaka 4 kuwahi kufanya hivyo huko nyuma
Msemaji wa klabu ya Wekundu wa Msimbazi Haji Sunday Manara amewakashifu watani wao wa...