Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama Trump Vile
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nyanda la Juve Gigi Buffon limedaka game yake ya 600 ktk ligi ya Italia maarufu kama serie A ile hali mahambuliaji Lionel Mesi ametupia goli la 500 tangu aanze kuvaa uzi wa klabu hio. MORE...
3 Reactions
1 Replies
527 Views
Mwendo kasi sasa waanza kuishia kimara mnyama kaahikwa sharubu
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Kumekucha muda utaongea
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana msimbazi nawapa pole siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tudu bovu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna kitu nimegundua ambacho kinatofautisha Klabu ya Simba na Yanga kwenye nyanja nzima ya kuwania Ubingwa. Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa kikosi cha YANGA kina (depth) kubwa mno na...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Nairobi, Kenya, November 04, 2016 --(PR.com)-- On October 29, 2016, Amanbo headquarters had a group of important guests - Kenya TAITA TAVETA County Chief Executive John Mkwawi Mruttu Mtutu, KNCCI...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Hebu tujaribu kukadiria ni uharibifu wa kiasi gani, huyu Mnyama mkali kabisa mwituni pengine kuliko wote.. anaoenda kuufanya katika Stand ya Shinyanga?? Katika Mechi 6 zilizopita. Sisi...
9 Reactions
83 Replies
7K Views
Mshambuliaji nyota wa zamani wa Simba , Emmanuel Okwi, yuko tayari kuondoka Denmark na kujiunga nao tena lakini fedha, ndiyo tatizo kubwa . Okwi amesema yuko tayari kuondoka klabu ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Baada ya tetesi za muda mrefu na tuhuma za baadhi ya viongozi wa shirikisho la soka Tanzania TFF kudaiwa kuomba rushwa ili waweze kupanga matokeo ya mechi za Ligi daraja la kwanza ili wa wapande...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnyama huyo kaliwa
0 Reactions
1 Replies
703 Views
1. Simba Day ni siku maalumu kwa Klabu kupiga mikwara dhidi ya timu za Ligi.... Lakini cha kushangaza huwa mnapoteaga kwenye jukwaa hili wiki 8 baada ya LigiKuu kuanza. Mkuu mpaka sasa.. Ni wiki...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama Kawaida Mnyama anaingia UHURU kujichukulia Pointi zake tatu na kujichimbia kileleni
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi ile dhana ya kua, Sokoine Stadium ni 'machinjio' ya Mbeya City inafanya kazi hadi msimu huu?! Hebu tufatilie mechi zake zote alizocheza katika uwanja huo, msimu huu; 10/05/2016 Mbeya City 0...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Kwa kile kinachotokea ulaya na marekani hivi karibuni, kama Leicester kuchukua ubingwa Brexit kushinda pale U. K Ureno kubeba euro Acha na mimi nitabiri kuwa moja kati ya timu zilizokaa mda mrefu...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Win86302.04
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Jarida LA Marco limemtbulisha Cr7 kama mchezaji bora,nimejiuliza utafiti huuni Wa mwaka Jana auni link?maana Sikh za karibuni kiwango cha mchezaji huyu dimbani kimekua chini mno has a...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Kocha Lwandamina ameachia ngazi rasmi kwenye club ya ZESCO ili aweze kufanya shughuli zake binafsi http://www.theindependentobserver.org/lwandamina-has-resigned-as-zesco-head-coach/
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Aden Rage, amesema kifo cha Spika wa bunge mstaafu Samwel Sitta ni pigo kwa wapenzi wa klabu ya hiyo kwa kuwa ndiye aliyeshiriki kuitunga katiba ya klabu...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…