Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Sunderland ya Uingereza imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Acacia kupitia Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ulioko Wilayani Kahama Shinyanga kufundisha makocha watakaotumika kunoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Kocha Mzambia George Lwandamina anatarajia kutua Yanga baada ya safari yake kuiva kufuatia mwajiri wake, Kampuni ya Umeme Zambia (Zesco) kukubali kumuachia. Habari zilizopatikana...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir ya Novemba 7, 2016, katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa. Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
MEXICO: Mchezaji mmoja wa soka anasakwa na POlisi kwa tuhuma za kumuua mwamuzi kwa kumpiga kichwa usoni sababu ya kupewa kadi nyekundu. Tukio hilo limetokea katika Jiji la Tulancingo katika jimbo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Ukiwa kama mdau wa michezo na shabiki wa kutupwa wa Yanga.Na kama ulivyolifafanua suala majina yako tukaridhika.Sasa kuna hili la Kocha Yanga,juzi vyombo vya habari viliandika Mwigulu afanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Simba Sc timu iliyocheza mechi 13 na kufungwa goli 2 tu na moja la mkono ililofungwa na Yanga SC,leo inakipiga na African Lyon ya Dar es Salaam uwanja wa Uhuru. Mechi hiyo itakuwa ni ya 14 kwa...
9 Reactions
228 Replies
38K Views
Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi? Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Klabu ya Barcelona inasheherekea tukio jingine la kihistoria baada ya mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi kuifungia klabu yake bao lake la 500 siku ya Jumapili. Messi mwenye umri wa miaka 29...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1:Vicent Angban Anaweza kupanga safu yake ya ulinzi vizuri.Ni goalkeeper ambaye hajawahi kupata kashi kashi yoyote ambayo inaweza kumpima uwezo wake.Ingekuwa si uimara wa safu ya ulinzi wa...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi. Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
0 Reactions
4 Replies
692 Views
BILA ULIMWENGU, TP MAZEMBE YABEBA UBINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO - SALEH JEMBE HOngereni Tp Mazembe vilabu vyetu navyo viige kutoka kwa Mazembe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumbe ni dereva boda boda ndo wamemua huyu Mashali wamebishana bei ..yeye anataka kulipa 2000 ..bodaboda anataka 3000 Jamaa akiwa kalewa pia akaleta ubabe..akampiga dereva bodaboda hadi chini...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Matokeo ya katikati ya Juma hili kwa Ligi Kuu yalikuwa na sura mbili. Ya huzuni na ya Furaha. Kuna waliocheka na kuna walionuna pia. Mwisho wa Juma hili tunaendelea kupata Uhondo mwingine kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu, ligi kuu bara inaendelea kwa mechi kadhaa viwanjani. Kutoka uwanja wa Sokoine ubao mpaka sasa unasomeka Mbeya anaongoza kwa goli moja bila majibu likifungwa na Hassan Mwasapili...
10 Reactions
322 Replies
37K Views
Bondia Manny Pacquiao ametwaa ubingwa wa mkanda wa WBO wenye uzito wa welterweight baada ya kumpiga bondia Jessie Vargas Jijini Las Vegas. Pacquiao alipohojiwa baada ya mpambano kuhusu Bondia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…