Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ona ambatanisho la uzi huu,ndugu zetu WA mashetani wekundu wanavyotia huruma sana. Ibra akadabla kadabla kawa kama kadabla Manyau nyau...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wakuu wa JF Lile treni lililokatika breki Simba SC linaendelea na safari. Leo hii litapita katika uwanja wa CCM Kambarage kukipiga na Mwadui FC. Timu bora kabisa chini ya kocha Omog na msaidizi...
6 Reactions
175 Replies
51K Views
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ ameonyesha hataki mchezo baada ya kumchakaza Mchina, Chengbo Zheng katika raundi ya kwanza tu. Pambano hilo la raundi 10 limefanyika...
7 Reactions
44 Replies
7K Views
Olivier Giroud's first two touches vs. Sunderland: Goal [emoji460] Goal [emoji460] That's how to mark your Premier League return.
2 Reactions
0 Replies
651 Views
Serikali kupitia Baraza la Michezo Tanzania(BMT) imezisitishia timu za Simba na Yanga mipango ya kubadili umiliki wa Timu hizo na hivyo Wanachama kuendelea kuwa wamiliki halali wa timu hizo...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Nimeamini usipobeti kistaarabu unaliwa tuu. Mtu kaweka 100000 kacheza high risk games kapigwa anadai eti kuna uchawi. Hebu nipeni mshaurini huyu jamaa sijui hakusoma BETING TIP &REGULATION
0 Reactions
2 Replies
649 Views
KIUNGO wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Hernandez Xavi ambae pia ni miongoni mwa wachezaji walio pata mafaniki0 na klabu hio na timu ya Taifa hilo bado yupo kileleni...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
1. Pep Guardiola alipohojiwa akasema kati ya wachezaji anaowakubali basi mshambuliaji raia wa Uingereza Peter Crouch ni mmoja kati ya wachezaji anaowakubali sana. Akaenda mbali zaidi kwa kusema...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
lengo kubwa la serikali kuanzisha hicho chombo ni baraza la michezo tanzania .ni lengo zuri sana ila watendaji wake wanasababisha waliite bomoa michezo Tanzania nchi hii ukitaka upate tenda yoyote...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu zangu Naanzisha uzi huu japo sijajua kama upo tayari ila ni mahususi kwa ajili ya kuweka highlights za magoli kwenye mechi za Epl... Sijajua kama ni sawa au sio sawa ila naanza kwa kuweka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwambien pep kuwa EPL kuna big match nne yaan vs Man untd vs Arsenal vs Liverpool vs Chelsea alfu kuna mechi tano za wabishi wa ligi vs Totenham vs Southampton vs Everton vs Stoke vs Westham...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Naomba kueleweshwa....kuna kitu sijakielewa kabisa Nilikua najua kuwa Manji ndo mwenye final say Yanga na ni Manji alipoona kocha Hans kama hamridhishi akaanza kutafuta kocha mwingine akampata...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Leo ndo leo katika uwanja wa mkwakwani ambapo chama la wana friends ranger leo inashuka uwanjani kuwakabili wana African sport,katika kundi hili A,Friends Ranger anaongoza kundi,Ewe Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Uongozi wa Yanga umeandika barua ya kumuomba kocha Pluijm afute maamuzi ya kujiuzulu, hiyo ni baada ya kukaa na Pluijm, Baraka na Mwigulu. ===== Mh.Mwigulu Nchemba amemrejesha kocha wa Yanga...
0 Reactions
158 Replies
20K Views
Wadau hii imekaaje kwa sababu nilitegemea waziri wa michezo ndio ajaribu kufanya huu usuluhishi katika masuala ya michezo... Sasa tofauti na hivyo namuona waziri wa mambo ya ndani mh. Mwigulu...
0 Reactions
6 Replies
886 Views
Hivi nyie TFF mmerogwa na nani? Wakuu nimekua nikisikitishwa sana na utendaji huu wa TFF hasa suala la ku update taarifa za mechi kwenye official website yao. Ni jambo la kushangaza sana kuona...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Nilijua tungewafunga kistaarabu. Ni lishangilia mpaka nikachoka magoli yakutosha. Congr. Blues
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchezo wa volleyball umekosa wadau kabisa humu ndani
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa club ya Chelsea, kuna mengine yameibuka watu wanadai kuwa N'golo Kante ni zaidi ya Paul Pogba. Je ni kweli?
1 Reactions
85 Replies
18K Views
Niko hapa naangalia USA vs Russia na USA kashinda ila sema kuna mtoto anaitwa Somebody Adams ni kisu(ingawa wote ni visu kinyama)ila huyu kavunja asa!!!!police yeyote akimpiga risasi kwamba...
1 Reactions
1 Replies
833 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…