Katika mechi ya Simba Na Yanga mchezaji Mkude wa Simba alionyeshwa Kadi nyekundu Na Refa Saanya.Kitendo hicho kiliifanya Timu ya Simba kucheza pungufu Na Yanga kufaidika Na upungufu huo.Ninacho...
Hivi karibuni tumeskia kuwa timu ya mpira wa miguu Yanga wameomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar. Wandugu mnaonaje tukiwashauri waombe kutumia uwanja wa Jamhuri Dodoma? Hasa ktk kipindi hiki...
Klabu ya Simba imemuomba radhi rais Magufuli kutokana na vurugu zilizosababishwa na mashabiki wao na kuvunja viti uwanja wa taifa siku ya mechi yao na Yanga
SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
2-10-2016
TAARIFA KWA UMMA
Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba imesikitishwa sana na vitendo vilivyofanywa na baadhi ya washabiki wetu,cha...
Huyu dogo mwenye miaka 13 anachezea kikosi cha watoto (Under 20) cha Celtic FC. Ana uwezo mkubwa wa kumiliki na kuchezea mpira atakavyo. Nimempenda sana nikaona niwashirikishe kidogo muone vipaji.
katika hali isiyo ya kawaida klab ya simba baada ya msoto wa miaka minne bila kombe wala jagi.imeona bora wafuate mfumo wa yanga kwa kuteua kamati ya mashindano.vp wadau mnaamin hii kamat kwa...
Tumemsikia na kusoma mitandaoni Juu ya Klabu ya Yanga kuomba kuutumia Uwanja wa Aman Zanzibar.Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi namba 4 inazuia kutumia uwanja nje ya Tanzania bara.Kiongozi wa Yanga...
Kamati ya bodi ya ligi imeifuta Kadi nyekundu aliyopewa nahodha wa Simba, Jonas Mkude baada ya kuthibitika hakustahili kadi hiyo.
Pia imeipiga faini ya milioni 5 klabu ya simba na kulipa gharama...
Huo ninapata wakati mgumu ninapokutana washabiki wa man u na asernal kwamba nani bingwa huku washabiki wa man u wakisema kwamba wao ndio wanaongoza kwa kuwafunga asernal lakin pia asernal nao...
mpira wa tanzania hauwez kupiga hatua kamwe kama tukiendelea ivi tunavoendelea maamuzi mengi yamekuwa yakitolewa kwa faida ya simba au yanga. sasa refa kafungiwa miaka miwili hawasemi sababu na...
Kocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.
Kaijage...
Kama kweli hizi habari ni za kweli basi soka la Tanzania lipo matatani sana. Maana makosa yaliyojitokeza yalikuwa ya kibinadamu na hata katika league za wenzetu yanatokea sana, lakini sidhani kama...
Mwamuzi wa kati aliyecheza mechi ya watani wa jadi (Yanga vs Simba), Martin Saanya, pamoja na msaidizi wake, wamefungiwa miaka miwili huku Nahodha wa Simba, Jonas Mkude akifutiwa adhabu ya...
Habari zilizonifikia ambazo hazijathibishwa na TFF, Bodi ya ligi wala chama cha waamuzi ni kwamba, mwamuzi wa kati Martin Saanya na msaidizi wake namba moja (line one) Samwel Mpenzu, wamefungiwa...
Ukiniuliza Katika Maisha yangu ya Ushabiki wa ARSENAL Ni Wachezaji Gani waliyonishawishi Kuipenda ARSENAL Ntakwambia ni NWANKO KANU na DENIS BERGKAMP na Historia Zao ndio Zilinivutia Kutaka...
Siku zinaenda mbele hazirudi nyuma,ipo siku tu Yanga au simba wanaweza kumiliki uwanja wao,sasa nina swali kwa mashabiki wote humu ndani.
Imetokea siku Yanga ndio wapo uwanja wao wa nyumbani...