Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wabongo tuache kuikuza Genk na hiyo ligi ya kijinga ya Ubelgij mchezaji bora Afrika hakustahili kwenda kwenye huo uchafu.Ukiingia blog za sport za kibongo siku tu akifunga ndo timu inasikika
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika kipindi cha michezo cha Clouds FM mchana mchambuzi Ali Mayai alilalamika uwingi wa watu wakiwa nje na tiketi ilhali ndani ya uwanja hakuna nafasi. Kama tulivosikia serikali ya Uganda...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Kati ya Azam na Yanga na Azam na simba nani kumfunga mwenzie zaidi katika
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Miaka ya 90 na kuendelea ligi ya Italia ilikua ni kati ya Ligi bora duniani Vilabu kama Juventus,Inter Milan,Ac milan,As Roma,Parma,Fiorentina...nk vilikua ni kati ya Vilabu tishio duniani vikitoa...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
mechi ya ligi kuu Tanzania bara baina ya watani wa jadi na timu zenye mashabiki wengi kabisa hapa nchini Simba na Yanga inatarajiwa kupigwa mnamo tarehe 1 oktoba,2016. Kumekua na fununu kua...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Timu ya Soka ya wanawake(Kilimanjaro Queens) imeifunga Uganda goli 4-1 na kuingia fainali za Chalenji. Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Ikiwa ni michezo mitatu pekee ambayo Simba imecheza katika Uwanja wa Uhuru ambao umeanyiawa marekebisho, Simba imeomba kurudi kutumia Uwanja wa Taifa kama ilivyokuwa awali. Tayari Simba kupitia...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba. Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja...
14 Reactions
100 Replies
10K Views
Ni jumamosi ya tar 17/09 pale uhuru stadium kushuhudia mtanange kati ya simba sports club na wanalambalamba Azam makosa wanayofanya walinzi wa mageti ya pande zote yanapelekea polisi kuwachapa...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Ni timu ipi itachukua ubingwa ligi kuu bara 2016/2017
0 Reactions
5 Replies
724 Views
Mafanikio tuliyoyapata kwenye timu yetu ya taifa chini ya kocha Macio Maximo hayatasahaulika. Lilikuwa kosa la kiufundi kwa kocha huyo kukubali kuifundisha Yanga, ila kama Azam FC walipoachana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na habari hii kumbe hata wazungu nao Wana mafumbo kama ya uswazi,ona jinsi Pep Guardiola anachowafanyia kina Pogba kwa kuwaambia kuwa Bornemouth ni timu kali kuliko zote alizokutana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mara ya mwisho kubiga ukunga kwa furaha wakati naangalia mpira basi ilikuwa ni world cup 2006 wakati zinedine akifanya mambo yake uwanjani...kwa miaka ya nyuma nilipatwa na furaha..sitosahau...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TFF mnapaswa kuzionea huruma timu zinazo shiriki ligi kuu, haingii akilini Yanga wapo kanda ya ziwa wiki mbili kwa mechi mbili Yanga kacheza na Mwadui tar.17/09 mechi ijayo tar.24/09 kwa nn...
0 Reactions
5 Replies
981 Views
'Can they take pressure?' Jose raises his only doubt after loss http://dailym.ai/2cXEJ9N#v-7606338402402350888 via http://dailym.ai/android
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Leo ndio vikosi bora vitakuwa uwanjani na baada ya dakika 90 jibu litapatikana kipi ni kikosi bora msimu huu. Tuanze kwa kujadili vikosi hivyo wakati tukisubiria kipyenga cha muamuzi kuanza...
0 Reactions
114 Replies
14K Views
Kitendo cha Mshambulizi Shizya Kichuya cha kufunga goli na kukimbilia ilipo picha ya Mafisango si tu kimeonesha mapenzi ya dhati ya mchezaji huyo kwa Klabu yake lakini pia kuonesha jinsi alivyo na...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
7 Replies
819 Views
Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani. Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…