Nipo hapa uwanja wa uhuru, kuangalia mechi ya Azam na Simba, kusema kweli utaratibu wa kuingia uwanjani ni mbovu, askari wamejazana kwenye vimilango, foleni ndefu na hazisogei, fujo...
06.05.2012 ni siku ngumu sana kusahaulika miongoni mwa mashabiki na wanachama wa Simba SC.
Kwangu mimi hii kumbukumbu imejenga makazi ya kudumu kichwani mwangu.
Kwanini?
1. Mnyama alimkung'unta...
Mchezaji bora wa Klabu ya Simba kwa mwezi Agosti, 2016 Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amekabidhiwa tuzo yake mbele ya mashahiki waliokujakushuhudia mchezo wa kati ya Azam Fc na Simba Sc. Pamoja na...
Kitendo cha Yanga kukodi daladala kama usafiri wao kutoka uwanja wa ndege Mwanza kimezua gumzo kwenye vyomba vya habari na mtandaoni
Klabu ya Yanga tayari imewasili mkoani Shinyanga kwa ajili ya...
Wadau,
Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimekuwa nikitafuta kumbukumbu za Klabu kongwe hapa nchi - Simba Sports Club na Dar Young Africans kwa ajili ya project ndogo katika uandaaji wa...
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) tunapenda kuwatakia ushindi vijana wenzetu wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys watakaoiwakilisha nchi katika mchezo wao wa Jumapili Septemba 18, mwaka...
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132.
10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15...
Kocha huyo mkongwe na mwenye GUNDU la kiwango cha kutisha , ametakiwa kutimuliwa na mashabiki wa timu hiyo . Hii ni baada ya kuponea tundu la sindano kwenye game dhidi ya PSG .
Shabiki mmoja...
Hivi wadau ni kweli Man Utd imekula hasara kwa kumsajili Pogba? Maana tangu atue Old Trafford bado hajaanza kuonyesha cheche zake kama alivyokuwa Juventus-Torino.
Kuelekea mechi ya azam na simba sc nimejikuta nikimkumbuka huyu dogo .
Kifupi dogo anaujua kuuchezea na si kuupiga.
Mwenye kujua aliko atujuze.
Natamani kesho angekuwemo ili ajitangaze zaidi...
Nimetazama mechi iliyoshika nafasi moyoni mwa wapenda soka duniani, kati ya Man United na Man City. Kiukweli ingawa wapenzi vipofu wa Man U mtabisha lakini ndo ukweli kuwa Pogba Mtumishi hewa...
Sensei Mtshali akitoa maelekezo.
Sensei Mtshali akirekebisha mkanda wa Sensei Florence Kieti kutoka Mombasa, Kenya.
Wakati semina ya kimataifa ya Shotokan Karate imeingia katika siku ya tano leo...
nilikuwa nauliza katika kile kipenge cha super 1 * 2 je ni kweli ukishinda ule mkeka wa milioni 75 ni kweli vipi watato hizo pesa au huwa wanakata maana naona mshindi wa mwisho alipewa millioni...