kwa wale wafuatiliaji wa Michezo nahsi mtkuwa mumesikia hii ishuu ya Mrisho Ngasaa kuvunja Mkataba wake na Club yake huko Africa Kusinii..
Hivii ni kwanni wachezaji wengi wa kitanzania hawachelwi...
By Dick Dauda -
September 2, 2016
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Morogoro, imempandisha tena kizimbani Katibu wa chama cha soka Manispaa ya Morogoro Kafari Maharagande anayedaiwa kutoa...
Mbwana Samatta
Mbwana Samatta playing for Tanzania
Personal information
Full name Mbwana Ally Samatta
Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23)
Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania...
Habari wanaJF
Sisi wapenda michezo tunafahamu kwamba sasa ule muda wa dirisha la usajiri limefunguliwa na tutaanza kuwa matumbo joto kutaka kujua nani anakwenda wapi na nani anabakia wapi.
Basi...
Usajili uliofanyika siku ya mwisho barani ulaya
Image c
David Luis amerejea Chelsea
Vilabu vya soka barani ulaya vimefanya usajili wa kumarisha vikosi vyao katika siku ya mwisho ya...
Michezo ni furaha na furaha ni kushinda na kushinda ni mipango na sayansi ya michezo na mipango na sayansi ya michezo ni gharama kubwa ambayo mzee Akilimali hamudu hata kununulia wachezaji wa...
Kumekuwa na shida ya mshambuliaji kwenye timu ya arsenal kiasi cha mashabiki kukata tamaa na kukondeana.
SAMMATA sasa ni mfungaji wa kimataifa ana mechi ya tatu mfululizo anatupia tena mechi...
Ukienda leo uwanja wa mpira wa miguu, unapokaribia tu kumaliza ngazi, ili uingie uwanjani, unakaribishwa na harufu mbaya ya vyoo.
Ukiingia huko vyooni hasa vyoo vya kiume ambavyo mimi ni mdau...
Bajeti ya Yanga Vs TP Mazembe- Lubumbashi
Kwa haraka haraka nlikua najaribu kuitazama / kuitafakari bajeti ya Yanga kwenda Lubumbashi Jumapili tarehe 21 August, 2016 nikizingatia hali ya uchumi ya...
Sergio aguero ndiye mchezaji anayefuatia kwa ufungaji wa magoli katika manchester derby baada ya wayne rooney lakin kwa manchester derby ijayo aguero anaeza asiwepo kutokana na kumpiga kiwiko reid...
Wanajangwani na wafanyabiashara wakubwa wote wanaohitaji kuwekeza kwenye brand ya yanga kama njia ya kumuunga mkono mheshimiwa mwenyekiti katika mpango wako wa kukodishiwa klabu yetu kesho...
Mshambualiaji hatari wa Taifa Stars na mchezaji wa zamani wa Simba na TP Mazembe ambaye kwa sasa anakipiga kwenye club ya KRC Genk ya huko Belgium inayoshiriki ligi kuu ya huko ijulikanayo kama...
Manchester City striker Sergio Aguero has been charged with violent conduct by the Football Association for elbowing West Ham's Winston Reid.
Aguero could face a three-match ban, including City's...
Nikiwa namsikiliza Evans Aveva ametamka bayana kwamba mikia fc,wamatopen fc au vyura wekundu fc kuanzia mwezi wa kumi wanahamia Dodoma,nini maoni yakooo?
Klabu ya Simba imejiridhisha na kupeleka ushahidi kwenye kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuhusu sakata la usajili linalomhusu beki wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani na wanaamini...
Wajumbe wa JF mna taarifa kuwa game ya Toto na Mwadui iliahirishwa kupisha shughuli za fiesta? Hahahha very interesting, kupitia redio pendwa efm nilimsikia Julio akihojiwa kuhusu kuahirishwa kwa...
Wakuu salamu zangu ziwafikie popote mlipo,
Nipo huku Dom kwa muda ,nilikuja huku week hii na mkeka wangu wa week ule wanaita mega.Niliweka teams 10 zote zi win kwa Tsh 500 na ikatoka Tsh...
ukiyashangaa ya amboni utayaona ya gamboshi
Ndugu Jamal Malinzi kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha mpila wa miguu mkoa wa KAGERA. Whaaaat, Jamal Malinzi Rais wa TFF kachaguliwa tena kuwa...
Wa kimataifa Yanga ya Tanzania bado wana matumaini ya kutwaa Ubingwa Kwa Vilabu Afrika. Kimahesabu Yanga ilipaswa hata isicheze mchezo uliobaki lakini ndio hivyo kelele zilikuwa nyingi sana...