Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu habari, Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc. Nilichokiona Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba...
0 Reactions
8 Replies
567 Views
Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Gilikipa wa Argentine alikua akikoja uwanjani kwa imani za kishirikina kama inavyooonekana wakati wa kombe la Dunia 1990 Refresh mind kwa kusoma Zaidi, ni visa vyake vingi na ambavyo ni vya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA) Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Preliminary Draw Live. https://www.youtube.com/live/syCg0Cn_1JM?si=qoJK1iGMMTnO4d7F Mtoano wa Shirikisho. Mzunguko wa Kwanza. Mzunguko wa Pili. Mtoano wa Klabu Bingwa. Mzunguko wa Kwanza...
7 Reactions
148 Replies
16K Views
Tuna taka kuona mnyama akishikwa sehemu mbaya na mwarabu . Tupeni ratiba watu wa mpira
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Teh! Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card. Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house...
2 Reactions
9 Replies
612 Views
Iwe ni kweli au siyo kweli, kuna wachezaji wa nje wanalipwa mshahara zaidi ya hiyo signing fee kwa mwezi na wanalipwa bila shida yoyote, usajili wa wachezaji wa nje hauna shida yoyote lakini...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Ya kweli haya ? --- Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema: "Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Bro Haji alama za nyakati zinaanza kukukataa kwenye game yako uliyoweza kuimasta kwa muda mrefu ya usemaji wa timu za mpira. Kila nikitazama miaka mitatu mpaka minne sikuoni tena ukiwa na ule...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 -...
2 Reactions
5 Replies
513 Views
here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri Kikosi ambacho natarajia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu...
18 Reactions
57 Replies
7K Views
Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi. Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai...
6 Reactions
126 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…