Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi karibuni uongozi mpya wa klabu ya Yanga SC chini ya mwenyekiti wake Yusuf Manji uliamua kubadilisha Sekretariati iloyokuwepo baada ya kumaliza muda wake mwezi Novemba 2014, na kutangaza...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
YANGA SC ya Tanzania imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia wenyeji Medeama SC kushinda 3-2 dhidi ya TP Mazembe ya DRC leo katika mchezo wa Kundi A Uwanja wa Essipong...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Sisi tukiwa kama wasindikizaji washiriki wakiwa saba viongozi wakiwa kibao. Tanzania Gold : 0 Silver 0 Bronze 0 Kenya Gold : 1 Silver 2 Bronze 0 Olympics tizama nchi zinazoongoza kwa...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Hatimaye yametimia Wakimataifa wetu hawana nafasi tena katika michuano ya CAF mwaka huu. Yanga mashindano haya ni makubwa na magumu yanahitaji kujipanga kujiandaa kwani mpira ni taaluma sio kupiga...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
The US Olympic Committee has said four swimmers, including multiple medallist Ryan Lochte, have been robbed by armed men in Rio. Lochte, along with Gunnar Bentz, Jack Conger and Jimmy Feigen...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Tumijue wenye team zenu na mtabiri wenyewe mtamaliza nafasi ya ngapi. Naanza mm, Arsenal (3).
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
3 Reactions
4 Replies
965 Views
Arsenal tutatoka Leo dhidi ya Liverpool?
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Jamaica's Usain Bolt became the first athlete to win three Olympic 100m titles by beating American Justin Gatlin to gold at Rio 2016. Bolt, 29, ran 9.81 seconds in his final Olympics to replicate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchezaji bora wa dunia wa soka,Lionel Messi ametangaza kurejea kwenye timu ya taifa ya Argentina. Messi ameandika kuwa timu ya taifa ya nchi yake ina matatizo mengi yanayopaswa kurekebishwa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchezo wa mpira wa miguu ligi kuu ya Zanzibar kanda ya ungunja uliotakiwa kuchezwa leo kati ya timu ya Polisi v/s Africa magic umeaahirishwa baada ya mchezaji mmoja wa Africa magic kutoa ripoti...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group. Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?. Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
niko nacheck muda huu kuna warembo wa kila taifa
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa Simba hamna hata mwenye mzuka wa kutupa updates za friend match ya Simba na URA. Hebu tupieni updates Bhana
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com, wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa wacheza soka. Ronaldo...
1 Reactions
56 Replies
18K Views
Safari hii DStv na msemo wao mpya wa “Hainaga Shobo Tunashangiliaga”, mbinu zao zinaonekana kuwa ni za dhati na mfano kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016-17 ambao unaaminika kuwa, utakuwa mtamu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
The United States won its 1,000th Olympic gold medal on Saturday when the American women's 4x100 meter medley relay team clinched victory at the Rio Games. The honor of reaching the milestone was...
1 Reactions
1 Replies
522 Views
Namshukuru mungu kwa kuniongoza kutabiri vema mechi za jana..niliweka laki moja na kuvuna laki nne na na nusu.. Nakukaribisha katika GROUP LETU LA WHATSAPP LA NFL.. Nicheki hapa 0718227556
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Nimechukulia Kgm kama mfano tu, hoja yangu ni kwamba kwa nini kila mtu TZ nzima ni mpenzi wa Yanga au Simba hata kama hawajazaliwa na wala hawakulia Dar, kwa nini wasiwe wapenzi wa timu zao huko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…