Habari wanaJF,
Kijana kutoka Tanzania Hilal Hemed Hilal ameshinda round ya nne ya mashindano ya kuogelea katika michuano ya Olimpiki yanayofanyika Brazil jijini Rio.
Hata hivyo hakufuzu hatua ya...
Paul Labile Pogba ana miaka 23 tu na bei yake inaweza kununua Ferrari 450, Porsche 1213, Ndege 3 za Airbus, Bugatti 60. Bado unataka nimpeleke mwanangu shule na baadae aishie kwenye maandamano na...
Wangapii wamemsikia mh wetu wa usajili kwa matopeni akihojiwa NA efm
Ameulizwa vipi kelele za mavugo NA vitaloo anasema anashangaa sana wale jamaa wanatakaa tukyleta shida zaoo kiukweli...
# Nchi Medali za dhahabu Medali za fedha Medali za shaba Jumlisha
1 MarekaniMarekani 3 5 4 12
2 UchinaUchina 3 2 3 8
3 AustraliaAustralia 3 0 3 6
4 ItaliaItalia 2 3 2 7
5 Korea KusiniKorea Kusini...
juzi Simba walisherekea kutimiza miaka 80 toka ianzishwe kwa kucheza na fc leopard ya Kenya ambapo waliweza kuibuka na ushindi wa goli 4-0.
Katika tamasha la Simba day kuna baadhi ya vitu...
MOURINHO: RONALDO HAKUWA NA MSAADA FAINALI YA EURO
August 6, 2016
Jose Mourinho amesema kwamba Cristiano Ronaldo hakuwa na msaada wowote kwenye mchezo wa fainali wa Euro ambapo Ureno waliibuka na...
Baada ya kusajiliwa kwa dau kubwa na kumfanya awe mchezaji ghali zaidi dunian kwa kipindi hiki ni kama amebeba mzigo mkubwa ambao hata yeye mwenyewe utamfanya ajitume zaidi kuuonyesha ulimwengu...
Defender Dani Carvajal scored a fine solo goal a minute from the end of extra time as Real Madrid beat Spanish rivals Sevilla in a dramatic Super Cup.
Champions League winners Real took the lead...
LAUDIT MAVUGO KUIPONZA SIMBA SC FIFA? VITALO ' O WANG'AKA
Na Samuel Samuel
Wakati Simba SC wakiiweka rehani leseni ya beki wa kulia wa Young Africans Hassani Kessy kuichezea timu hiyo kwa kile...
Jamani kunani huko! Mbona mambo hayaeleweki eleweki. Kama mauza uza.
Inasemekana Jamaa hajamaliza mkataba na Vital'O. Baada ya kuaga club yake Vital'O kufanya Trial huko Ufaransa, nasikia Jamaa...
YANGA IKISHUSHWA DARAJA, BOSS WETU, MWENYEKITI WETU NA MPANGAJI WETU ATAWAJIBIKA NA HAWEZI KUKWEPA KIKOMBE HIKI :
Daniel Naftal Ngogo :
Dr Jonas Tiboroa alifukuzwa na bwana mkubwa Ukatibu mkuu...
Leo usiku kwenye kipindi cha mada moto albert kilalah atakuwa na baadhi ya viongozi wastaafu na wanachama wa club ya simba kujadili mabadiliko ndani ya simba. moja ya wazungumzaji atakuwa Mfumwa...
Yule mchezaji bora kabisa kuwahi kushudiwa katika ardhi ya Burundi, Laudit Mavugo a.k.a Tormentor hatimae aanza "kuirudishia" Simba S.C hela ilizotumia kumsajili.
Kwanini Mavugo ni bora?
1...
Dirisha la usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza la StarTimes na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2016/2017 lilifungwa saa 6.00 usiku wa Jumamosi...
Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni mpenzi wa Yanga. Mimi nakubaliana na Manji kukodisha Timu kwa miaka 10 ila Wanachama wazingatie yafuatayo:-
(1) Kuna uwezekano kwenye biashara kukawa na HASARA...