Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu, Nimeona tuwe na thread maana sijaona ikiwepo. Nitajitahidi kuweka updates kadiri nitakavyoweza lakini nikionekana kuzembea naomba mods hii thread wampe atakayeonekana kuwa anatoa updates...
2 Reactions
145 Replies
15K Views
  • Closed
Leoo tunaelekea kuangalia timu moja itakayoungana NA ureno kuelekea final za euro 2016 Wapo wenyemawazo mbalimbali kama mwanamichezo nn maoni yakoooooooo
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ametambulishwa rasmi klabuni hapo jana mbele ya maelfu ya mashabiki wa klabu hiyo huku mwenyewe Pep Guardiola akiahidi kuandika historia klabuni hapo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mpira wa tanzani imeingizwa siasa. kamati ya uchaguzi Dorefa mkoani dodoma imewaondoa baadhi ya wagombea kwa madai ya maagizo kutoka TFF. inasemekana anataka kubadilisha kanuni ya uchaguzi wa TFF...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza niwapongeze kwa mafanikio ya Serengeti Boys kwa sasa ingawa najua si ushindi wa kitaalamu sana kwa kuwa timu tuliyokutana nayo ni dhaifu sana. Ndugu yangu Malinzi umekuwa hapo TFF...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Mchezaji bora duniani leo messi yupo Bahamas kwa mapumziko lakini amezua gumzo mtandaoni baada ya kuvaa t shirt inaelezea hisia zake kuhusu penati mchezoni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
2 hours ago Serena Williams has reached her 12th quarter-final at Wimbledon Wimbledon on the BBC Venue: All England Club Dates: 27 June-10 July Live: Coverage across BBC TV, BBC Radio and BBC...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Kuhusu Gareth Bale nimeenda wikipedia kumsoma huyu jamaa nimeona kazaliwa Cardiff, Wales. Swali langu ni hivi, Hii Wales siyo UK? Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niseme ukweli namchukia sana huyu mzee wa tetesi mwishowe inakula kwetu Kweli unamnunua Takuma na kujiona umesajiri stricker au unamfukuzia Benteke wakati kule kuna Chicharito anapatikana kwa bei...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanariadha mlemavu wa miguu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius leo atafahamu iwapo atakwenda jela kwa kosa la mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp au la. Mwanariadha huyo alipatikana na hatia ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanaspoti, Ni nchi gani au taifa ambalo timu yao ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha ambaye sio mzaliwa wa nchi hiyo?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Former Italian Prime Minister Silvio Berlusconi says he has sold football club AC Milan to a Chinese consortium. Berlusconi, who owns the Serie A team, made the remarks to local newspapers on...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Habari zilizo mjini kwasasa nikuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Genk Mbwana Samatta kesho atakuwa Nchini Italy kufanya mazungumzo ya kujiunga na klabu ya AS...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
namtaka huyu mwana.
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Hii mechi ya Portugal Vs Iceland. Ngoma ni 1:1. C. Ronaldo hafurukuti licha ya kucheza na wachezaji wa timu pinzani iliyo na wachezaji wasio na majina makubwa sn! Hii ina maana gani wakuu? Ndio...
1 Reactions
48 Replies
39K Views
MFALME WA SOKA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA LIONEL ANDRES MESSI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI ARGENTINA IKITINGA FAINALI COPA AMERICA Lionel Mesi sasa anaongoza orodha ya wafungaji katia taifa la...
3 Reactions
112 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…