Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Messi ajiuzulu baada ya kukosa penalt Mshambulizi huyo wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya...
8 Reactions
122 Replies
18K Views
Sasa ni dhahiri kwamba kocha huyu kikongwe anazo chuki binafsi. Katika hali ya kawaida huwezi kumwacha benchi Jamie Vardy kama unataka kushinda , hii ni ajabu ! Ukiangalia kwa makini Vardy kila...
9 Reactions
82 Replies
7K Views
umependa sehemu gani? mimi nimependa sehemu ambayo puyor kazinguliwa afu ronaldinho akataka kumzingua jamaa aliyemzingua puyor, then puyor akakimbia kumzuia ronaldinho asifanye vile. tazama:-
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo. Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii. Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Kocha wa timu ya Uingereza Roy Hodgson amejuzulu kuwa kocha wa Uingereza baada ya timu yake kuenguliwa kwenye mashindano ya Uefa Euro 2016 dhidi ya Iceland. Je, aistahili kujihuzulu? Nini maoni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu wa kitengo cha habari cha klabu ya Yanga, Jerry Muro ndiye mgeni rasmi wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe. Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu, itapigwa kesho...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nimegunduaaa uwanjani leo wanaingia wachama wa na wafuwasi wake. Tena watakaokuwa na jezii za ushabiki wa yanga. Unajua ni kwa nini?? Yanga vibali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaaam wanajamvi. Baada ya salaam nadiklea interest kuwa mi naipenda England. na niseme ukwel pia kuwa sijui kwanini naipenda. Labda ni kwa vile England ya akina seaman ., Beckham ilinikosha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Ajue Capacity ya Uwanja ni 60,000 2. Ajue kwamba anatuingilia uhuru wetu na kunyima haki ya nafasi ya watu 20,000 ambayo ni nafasi inayoakisi matumizi ya rasilimali za walipa kodi wa nchi yetu...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Rais wa Argentina Mauricio Macri amemwita nyota wa soka wa nchi hiyo Lionel Messi kwa lengo la kumuomba atengue maamuzi yake ya kujiuzulu kucheza soka la kimataifa. Messi alifikia maamuzi hayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku ya June 27 2016 huenda ikawa ni siku ambayo mashabiki wa soka wamepata habari ambazo huenda hawakuzitarajia kutokana na matokeo ya mechi zenyewe, tulianza kusikia taarifa za Lionel Messi...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Chelsea wanajiandaa kuingia katika mbio za kumwania kiungo wa Roma Axel Witsel, 27, ambaye yuko Ufaransa na timu yake ya taifa ya Ubelgiji katika Euro 2016 (Daily Mail) Barcelona huenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uingereza 1:2 Iceland
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Usaliti ni kitu kibaya sana na nikiyakumbuka na kuyanukuu maneno " kuntu " kabisa ya Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanali Ngemera Lubinga kuwa namnukuu " sadism is inevitable when the...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hii ni siku mbaya kwa soka la Argentina, baada ya kushindwa kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chile, wachezaji wa Argentina mmoja baada ya mwingine wamekuwa wakitangaza...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Walichukulia game itakua rahisi ona sasa aibu waliyoingia. Hongera sana Iceland kwa kuwadungua England 2-1. England itabakia kuwa na ligi bora lakini timu ya taifa bomu. Na ubora wa ligi unaundwa...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Imekua kawaida kwa wachezaji wengi wa ligi kuu hapa Tanzania kushiriki ligi za ndondo mitaani. Hili suala linadhoofisha vipaji vyao bila wao kujua lakini pia kunyima fursa vipaji vingine kuibuka...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu jamaa amekuwa anaongea saña wakati mwingine anaongea maneno ambayo si ya kiuana michezo. Hivi karibuni ametokea kuiropokea TFF kuwa waliwafanyia makusudi katika maandalizi ya mechi yao dhidi...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika hali inayoonyesha kuwa sasa kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mtafaruku mkubwa kama siyo uadui mkubwa baina ya Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF ) na Klabu ya Yanga. Muda si mrefu katika...
3 Reactions
94 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…