Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakati Yanga ikiendelea na harakati za kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, ghafla kumeibuka mtafaruku baina ya nyota wa timu hiyo, Mrundi, Amissi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa kweli sasa inatosha. Huyu msemaji wa Yanga amekuwa akiidhalilisha TFF anavotaka kwa kuwafanya TFF kama mazuzu yaani hawajui chochote katika uongozi wa soka. Inavoonekana uongozi wa TFF...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
habari wanaharakati.wakuu kwa wale walioko mwanza au wanao ijua mwanza wapi nitapata dojo nzuri la karate?
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This was to have been the match that sealed Lionel Messi’s legacy. The one that silenced the doubters, that killed off the question mark hanging over his greatness, that gave him his place in the...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni kikosi ambacho kilikua hatari sana..Arsenal itachukua muda sana mpaka kupata kikosi kaka kile. Gunners forever...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amerika ya kusini kumekucha.Mashindano ya mataifa ya amerika ya kusini yameanza.Jionee mwenyewe yote yaliyojiri katika mashindano hayo. Utaweza kuwaona nyota wote wanaowika barani ulaya kutoka...
4 Reactions
293 Replies
29K Views
Katika mtanange wa makundi kombe la dhirikisho klabu ya yanga itachuana na Tp Mazembe katika uwanja wa taifa!! Je kuelekea mtanange huo kuna haja ya Yanga kutaka mashabiki wa timu hiyo pekee...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
1. The television rights belong to CAF. For every live transmission of a match, the host association shall pay to CAF, the following charges: 1.1 Preliminary matches and 1/16th final matches...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza na ile hali ya kuendelea kwa mivutano kati ya CAF, TFF, AZAM TV na YANGA kuendelea kukomoana. katika taharifa iliopatikana kwenye page ya Facebook ya Naipenda YANGA...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Taarifa kwa vyombo vya habari Awali ya yote klabu inaendelea kutoa pongezi kwa ndugu zetu waislaam wanaoendelea kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani tunaamini Mwenyezi Mungu atawalipa malipo mema...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limesema kwamba, makanjanja (watu wasio na ujuzi wala elimu ya michezo) ndio waliochangia kuporomoka kwa michezo hiyo nchini, FikraPevu inaripoti. Katika...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Wanajf habari nikiwa kama mshabiki wa timu ya yanga nimefeheka sana baada ya kumsikia mwenyekiti wa mtani wetu simba akitoa tahadhari namna tutakapomchezesha kessy mimi napata tabu sana inamaana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuingia Dar es Salaam, Tanzania kesho saa 7.45 usiku (usiku wa kuamkia Ijumaa Juni 24, 2016), kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Taifa ya Vijana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kauli aliyomaliza nayo Jerry Muro kwenye mahojiano yake na Clouds fm. Hawa viongozi wetu wa mpira tulionao kama akina Jerry kamwe hawawezi kuendeleza mpira wetu kwa kushindwa kutofautisha...
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
June 26, 2016 Manchester United and Real Madrid will need to smash the world transfer record to sign Paul Pogba if Juventus agree to sell the France midfielder this summer. United are...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Baada ya Waingereza Kupiga Kura ya Kujitoa Euro na huku wamefuza 16 BORA nawasiliasha mada hii chokonozi
1 Reactions
57 Replies
5K Views
For the love of Volleyball game, i would like to establish a small 'club' where we can meet and play twice or thrice a week depending on our availability. I kindly invite interested and motivated...
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…