Katika hali isiyokuwa ya kawaida na pia ni ya kusikitisha Shirikisho la Soka barani Africa ( CAF ) jana limesikitishwa na kitendo cha Idara ya Mawasiliano na Habari ya Klabu ya Yanga ( ambayo...
Michuano ya Euro mwaka huu 2016 imekabiliwa na vurugu sana,tofauti na miaka ya nyuma ambapo mashabiki wa Uingereza walikuwa wakionekana wakilewa sana.Lakini mwaka huu imeonekana mashabiki wa nchi...
wadau hivi sababu ni ipi kwa nini mechi za hivi karibuni kati ya Tanzania na jirani zetu malawi hazichezwi kwenye uwanja wa taifa?.mechi iliyo pita ilchezwa sokoine na hii tena kirumba,why not in...
Huyu jamaa amekuwa anaongea saña wakati mwingine anaongea maneno ambayo si ya kiuana michezo.
Hivi karibuni ametokea kuiropokea TFF kuwa waliwafanyia makusudi katika maandalizi ya mechi yao dhidi...
English clubs’ chances of signing young players in general will be seriously affected, with the current ruling that clubs inside the EU are able to buy players aged 16 or over.
That will change...
Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limetangaza kuindoa ES Setif ya Algeria katika michuano ya Ligi ya Mabingwa.
Caf imetangaza kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, kuwa Setif...
Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka Adam Lindin Ljung-kvist, akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya.
Mchezaji huyo alipokuwa katika harakati za...
Nianze kwa kuelezea masikitiko yangu KAMA MWANACHAMA WA SIMBA na si shabiki tu, kwamba imepita miaka minne sasa ambapo licha tu ya kwamba hatujawahi kuchukua ubingwa ila hata kushiriki michuano...
Nchi ya Uingereza imepiga kura ya kujiindoa kwenye umoja wa ulaya EU kujiondoa huko kunaweza kuleta athari kubwa kwa Uingereza katika nyanja mbalimbali ikiwemo mchezo unaopendwa zaidi duniani wa...
Wakuu, japo tunapenda kuwa kama Ulaya lakini hili la timu ya Yanga kuweka kambi nchini Uturuki haliingii akilini. Klabu yenyewe haina uwanja wa mazoezi lakini inatumia pesa nyingi kwenda huko hata...
Katika hali ya kushangaza kabisa ambayo imewaacha Watu hoi jana katika moja ya mechi za Ndondo huko nchini Colombia mchezaji mmoja alishindwa kujizuia na katika harakati za kutaka kuuzuia mpira...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limekataa ombi la Young Africans ya Dar es Salaam juu ya kubadili siku na muda wa mchezo dhidi ya T.P. Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
Mie nadhani wakati umefika Kwa Wizara ya habari kusimamia vilivyo chaguzi za viongozi wa vyama vya michezo hapa nchini.Nashauri hivyo kutokana Na TFF kukaa kimya wakati Klabu ya Yanga Kwa makusudi...
Mchezaji aliyeandikisha historia kuwa wa kwanza Kenya na Afrika mashariki kuchezea ligi kuu mashuhuri ya Uingereza Victor Wanyama ameiama klabu yake ya Southampton na kujiunga na Totenham Hotspur...
Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea...
NEENDA UGANDA MDHAMINI MKUU AZAM ANAWEKA PESA ZA CLUB KWENYE ACC ZAO AKUNA KUCHELEWESHWA WALA
NENDA RWANDA AZAM ANALIPA PESA CLUB KWENYE ACC ZAO
NI HAPA TU UTAONA PESA ZA MASHINDANO CHAMA...