Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza kesho Mei 27, 2016 kuanza kwa mchakato wa kuchukua fomu za kugombea uongozi katika Klabu ya Young Africans ya Dar es...
....Jose Mourinho wants Rio Ferdinand as part of his new backroom staff at Manchester United, according to The Telegraph .
source. newsnow/man utd
kwa hiyo nimejikuta nafutahia tu na kama kweli...
SIMBA SC ipo katika hatua za mwisho kumsaini mkufunzi, Milovan Curkovic ambaye aliifundisha timu hiyo kwa vipindi viwili (lakini si zaidi ya miaka miwili.) Kwa mara ya kwanza, Mserbia huyo...
Inaungana na wale washindi wawili wa championship league , baada ya kuichapa Sheffied Wednesday katika fainali ya play off iliyopigwa Wembley .
Shukran kwa bao kali la Mweusi Diame , kwa shuti...
Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi...
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni fainali ya kuamua taifa litakalofuzu katika fainali...
Hanspope: "safari hii hatutaki wachezaji wa kuokota kijiweni kama Kiiza, hakuwa na timu karibu mwaka mzima yule"
==========
BOSI wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe amewaambia...
Real Madrid imetwaa Kombe la Mabingwa Ulaya kwa mara ya 11 kwa kuwafunga Atletico Madrid penati 5 kwa 3 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare 1-1
huku Atletico wakikosa penati katika dakika ya...
Kwa wapenzi wa wwe hii ni week ya burudani iyo n baada ya urejeo wa Seth Rollins baada ya kuumia na kutokuwepo ulingoni kwa takribani miezi 7 na sasa tunagojea mpambano kati ya Seth Vs Roman...
Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Kenya Huko Nairobi mnamo tarehe 29th May 2016.
Uwepo wa mchezo huu tayari umeshathibitishwa na chama cha sola cha kenya na...
Salamu wanajamvi.
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashauri sana mashabiki wa Simba. Nahitaji pia wawe makini sana katika hili.
LigiKuu ya Tanzania Bara imefika kikomo, na Klabu ya Simba ipo...
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kufanya mahojiano maalum na mchezaji wa simba aitwaye Joji Lukas , pamoja na ukweli kwamba mchezaji huyu hakuwa maarufu sana lakini alikuwa ni muhimu sana , hasa...
Fifa World Ranking 2016
Wanasoka Bora America ya Kusini na ulimwenguni kote" LA ALBICELESTE" ARGENTINA wamerejea katika nafasi yao ya zamani namba-1 Akifuatia BELGIUM-2 CHILE-3
Huku timu yetu...
Kwenye uchambuzi anga za kimataifa na kitaifa nani huwa anachambua kwa ustadi zaidi kati ya Shaffi Dauda, Maestro, Edo Mwembe, Oscar Oscar, Dk Lick, Kitenge?
Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini...