Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Hamisi Friday Kiiza amesema kwamba yeye ndiye mfungaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kombe la Azam...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
The first player to play six straight NBA finals since 1966.....who let tha dog [emoji190] out....King Lebron Huyu jamaa ni mnyama,kikapu kilichopigwa Leo sio cha kawaida japo kijana Lowry...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Wana bodi, Naomba kujua ni kifurushi kipi cha Azam wataonyesha michuano ya Euro 2016, Mwenye uzoefu tafadhali
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Mtaniwia radhi kuufikisha ujumbe huu humu badala ya ukumbi wa michezo na burudani kule, kwani binafsi naliona suala hili ni kwa maslahi ya kitaifa zaidi. Kiukweli kabisa katika nchi yetu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya wiki kadhaa za tetesi hatimaye Mourinho amepewa rasmi mkataba wa kuinoa Machester united kwa miaka mitatu ijaYO Source BeinSport Tv. Haya EPL kumekucha sasa huku Gurdiola kule Mourinho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajf wanamichezo. Kwa uongozi huu wa Simba Sports Club hata wasajili vipi timu itaendelea kuboronga tu hadi pale uongozi uliopo utakapotolewa madarakani. Tatizo la Simba sio wachezaji ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania – Taifa Stars, chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa na Hemed Morocco kinatarajiwa kuondoka kesho saa 12.00 alfajiri kwenda Nairobi, Kenya kucheza na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Afrika imekuwa ikitoa wachezaj wazuri wenye sifa kubwa toka miaka ya akina asprilla,okocha,etoo,t.henry,drogba n.k Najiuliza katika miaka yote Hii ni kocha gani mwafrika kabisa ambaye amewah...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanachama wa Yanga wamecharuka na kufanya kitendo kinachoonyesha ni hasira kutokana na kuchana na kuchoma moto magazeti. Wanachama hao wa Yanga, leo wamechoma moto magazeti ya Nipashena The...
0 Reactions
104 Replies
13K Views
Bongo star Diamond Platnumz performs with Ne-Yo May. 23, 2016, 6:00 pm By ELLY GITAU, @elijahgitau American R&B and pop star Ne-Yo performing with Diamond Platnumz at the Jembeka Festival 2016 in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
FULL TIME: SAGRADA ESPERANCA 1-0 YANGA SC. YANGA ANASONGA MBELE KWA MATOKEO YA JUMLA YA SAGRADA ESPERANCA 1-2 YANGA SC. KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ESPERANCA KATIKA MJI WA DUNDO NCHINI ANGOLA...
4 Reactions
346 Replies
50K Views
Baada ya Spurs kwenda sare ya 1-1 na West Brom jana,uzito wa ubingwa wa Leicester umepungua. Kimahesabu,Spurs wenye alama 69 sasa,watafikisha alama 78 kama watashinda michezo yao mitatu...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Katika miaka 7 ya Pep Guardiola kama kocha katika champions league ni aidha kombe achukue guardiola au timu iliyomtoa nusu fainali 2009 - Guardiola 2010 - Intermilan baada ya kumtoa pep semi 2011...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
***MPIRA UMEKWISHA NA YANGA WANATAWAZWA KUWA MABINGWA*** DAKIKA 3 ZINAONGEZWA NA KAMISAA YA MCHEZO 87' Nadir Haroub 'Cannavaro' anaingia kuchukua nafasi ya Vicent Bussou 84' Faridi...
4 Reactions
224 Replies
25K Views
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka. Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Yule msemaji mahiri kabisa katika soka la bongo, Masao Bwire wa Ruvu shooting ameanza tambo zake mara baada ya timu yake kurudi ligi kuu na kuhaidi kuwa timu hiyo ya RUVU shooting itatwaa ubingwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
huenda ligi hii itakua ya hatari sana msimu ujao Unadhani nani ataibuka kidedea?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…