Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimefanya uchunguzi miongoni mwa timu zilizopo kwenye ligi kuu ( PREMIER LEAGUE ) kwa sasa Nchini England , utabiri wangu hauiepushi chelsea na janga la kushuka daraja. Ikiwa imesalia mechi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Mkongwe huyu mwenye miaka 37 amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa nchi hiyo kwenye michuano hiyo . Aliwahi kuchezea Chelsea na baadaye akaenda China lakini hivi sasa ni mchezaji...
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Asubuhi nimepita pale makao makuu msimbazi washabiki wamejaa wanataka uongozi uachie ngazi haraka, hili ndio soka letu la nchi hii ukiona kuna furaha jangwani basi msimbazi lazima kuna msiba,na...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa kikosi cha Simba SC Musa Hassan ‘Mgosi’ ameshindwa kujizuia kuonesha kusikitishwa na matokeo mabaya ya klabu yake katika siku za hivi karibuni na kufikia kusema...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Serikali imeahidi kujenga kituo cha michezo katika Mkoa wa Manyara kutokana na eneo hilo kuwa na vipaji vingi vya mchezo wa riadha. Ahadi hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Habari, Utamaduni...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Swali hilo kwa wanavumbi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Yule bondia machachari Amir Khan leo asubuhi amepigwa kwa KO na bondia Alveres toka S.America ktk round ya 6
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
0 Reactions
1 Replies
996 Views
FARID MUSSA AFAULU MAJARIBIO HISPANIA, DEPORTIVO TENERIFE WAJA MEZANI AZAM FC Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik (pichani kulia) wa klabu ya...
7 Reactions
26 Replies
12K Views
Kuna ujumbe unasambazwa mitandaoni kuwa mechi ya Leo haitakuwa hewani kiukweli kama ndivyo hivyo mtakuwa mnekosea sana
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hatimaye timu ya Wananchi Dar es Salaam Young African ( Yanga ) imetwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara huku ikiwa na Mechi 3 Mkononi Baada ya kufikisha point 68 katika Michezo 27. Point ambazo...
8 Reactions
64 Replies
25K Views
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU Tunajipongeza safari Tulioanza na timu yetu Toka mwanzo ____________________________Na Hatimaye timu ya Wananchi Dar es Salaam Young African ( Yanga )...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wakimataifa ni wakimataifa tu na mchangani wa mchangani tu, leo sasa yanga kampa kampa kampa tena kampa sagrada esperanca bao 2, kama alivyompa simba mikiaaa
1 Reactions
14 Replies
2K Views
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dk 90, Kimanzi anapiga shuti lakini mpira unapita juu kidogo ya lango Dk 89, Yanga wanatumia akili zaidi, wanacheza taratibu huku wakizuia mpira kwenda kwenye lango lao SUB DK 88, Evarist Benard...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Dakika ya 4 Yanga wamefungwa 1, Dk ya 8 Yanga wanapata kona lakini hawajaitumia vizuri. Yanga wanendelea kuliandama lango la wapinzani wao lakini wanakosa umakini kwenye third part. Dk 13...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
WAKATI YANGA WANATESA NA COMBINATION HATARI YA MTN (MSUVA,TAMBWE,NGOMA)NA HADI KUFIKIA KUIFANANISHA NA ILE YA MSN BARCELONA KUNA TIMU NAYO HAIKUBAKI NYUMA INA COMBINATION YAKE INAITWA (MIMBA) M...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
FULL TIME : Yanga 2 - 0 Esperanca GOOOOOOOO Dk 90+1 Matheo Anthony anageuka na kupiga shuti kali la kushitukiza. mpira unamgusa Antonio Kasule na mpira kujaa wavuni DAKIKA 3 ZA NYONGEZADk 89...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Winger wa Azam na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa amefaulu majaribio yake kwenye klabu ya Deportivo Tenerife ya Hispania ambako tayari pia amefaulu vipimo vya afya na kinachosubiriwa ni...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Nilikuwa namuangalia kupitia TBC 1 katika kipindi cha Mboni Show akihojiwa na muandaaji wa kipindi hiko Mboni, na ktk mengi aliyoongea na takwimu alizokuwa anazojifanya anazijua akaja akasema eti...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…