YANGA imetwaa tena ubingwa wa soka Tanzania Bara bila jasho, na leo inaingia uwanjani ikitaka kutimiza malengo yake matatu kwa msimu huu.
Baada ya Azam kupokwa pointi tatu na Shirikisho la Soka...
Unachukua hela za ofisini TFF dola laki moja unampa mshikaji wako anaenda kutengeneza jezi za Taifa starz malayasia.
Kisha hizo jezi unakuja wauzia tena TFF kwa hela ya mdhamini kilimanjaro...
KIKOSI cha wachezaji 22 wa Grupo Desportivo Sagrada Esperança ya Angola kinatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi tayari kukabiliana na Yanga katika mechi ya kwanza ya raundi ya tatu...
YANGA imekula ‘kiporo’ kwa tonge moja tu, tena bila mboga. Imeichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mechi yake hiyo ya kiporo cha Ligi Kuu na kufanikiwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 24 sawa...
Mchezaji wa soka ya kimataifa kutoka Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki baada ya kuanguka uwanjani katika ligi ya Romania.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alipoteza fahamu dakika saba tu...
Habari wakuu,
Leo shirikisho la mpira wa miguu nchini(TFF) limetangaza kuwapokonya timu ya Azam pointi tatu kwa kosa la kumchezesha Erasto Nyoni aliepaswa kutumikia adhabu kutokana na kuwa na kadi...
ndio hivyo wadau
Mechi zote mbili zitachezwa tarehe 28 Aprili na marudiano yatafanyika tarehe 5 Mei
Fainali itafanyika tarehe 18 Mei jijini Basel Uswisi
Trend ya Atletico Madrid(AT) imewashangaza wengi nawalinganisha moja kwa moja na Leceister city katika mbio za medani za soccer ,match ambazo tulitarajia itolewe ndo kwanza imewaangusha vigogo...
Sometimes pamoja na ufundi mwingi (team tactics) bahati kwenye football ipo,hilo halina ubishi.Unajua kwanini scenario kama hii naizungumzia Atletico Madrid wazee wa deep defence?1 st leg ya semi...
HHistoria inawafavour atletico madrid kuingia fainali lakini historia pia inawanyima atletico ubingwa wa ulaya 2015/16.
Iko hivi
2005/06 Barca bingwa
2006/07 liverpool vs barca(last 16)liverpool...
KITENDO cha Azam kutoka sare ya mabao 2-2 na JKT Ruvu Stars kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam leo kimeipa rasmi Yanga ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2016 kwani sasa vijana...
Baada ya Pep kukosolewa na waandishi wa habari hasa wa kijerumani baada ya kufungwa Estadio Vicente Calderon, ametania na kusema kwamba wanaweza kumuua kama Bayern itafungwa Allianz Arena...
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda...
kuna vijitu njaa vinajidai vinataka demokrasia yanga ni vijitu vyenye njaa vijizi wanaleta figisifigisu wamejikusanya wamechochea BMT mpaka wamejichukulia madaraka kusimamia eti uchaguzi wa yanga...
Kampuni ya William hill betting imeendelea kumshawishi shabiki Leigh wa Leicester akubali kuchukuwa kiwango cha pesa tofauti na kile ambacho anaweza kupata pindi Leicester ikiwa bingwa hizi hapa...
Leicester....what a fairy tale!
Nimejifunza mengi kutoka kwa Leicester na Chelsea! Hata ni baadhi
1. Jinsi mwaka mmoja unavyoweza kubadili kila kitu katika maisha yako. Msimu uliopita...
Eheheh walimwengu ni watu wa ajabu sana....
===================
Mvulana mwenye umri wa miaka 5 ambaye picha yake ilisambaa katika mitandao ya kijamii akiwa amevalia shati ya Lionel Messi...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga kuwa utafanyika Juni 25, 2016 badala ya Juni 5, 2016.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imelazimika...
Habari wakuu,
Tunaelekea kuhitimisha msimu na hali inamtabiria bashiri njema Yanga kuelekea kuutwaa ubingwa kwa kukalia kiti ikiwaacha wapinzani wake wa karibu, Azam FC na mtani wake Simba...