Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa...
Je wajua?
Klabu ya Simba imepoteza jumla ya mechi tatu
(3) msimu huu katika Uwanja wa Taifa, Ligi Kuu,
na timu zote zilizoifunga zinatumia jezi za rangi
ya njano na kijani.
Unadhani kwanini!!!!!!!!!
Hayo ameyabainisha baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kama anaweza kumpa nafasi mkongwe huyo mwenye miaka 39 ambaye anazidi kung'ara pamoja na umri kumtupa mkono , kama barca ilivyofanya kwa...
Natamani Leicester wachukue ubingwa
naamini pia mchezaji wao Mahrez amestahili kupewa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka
lakini niliposikia atakuwa 'mwafrika wa kwanza kushinda tuzo hiyo'
nikajikuta...
Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi
Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi
halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya...
Nikiwa ni mdau wa soka la Tanzania nimesikitishwa sana na vitendo vya washabiki wa timu haswa ya coast union ya tanga vilivyo jitokeza katika mechi ya coast na yanga, kitendo cha kuwashambulia...
Wadau wenzangu wa soccer hivi mkiwa mnaangalia mpira kwenye Televisheni zenu iwe ni EPL,La Liga,Champions League ama ligi yoyote ya majuu ni lugha gani unayovutiwa nao ikitumiwa na commentator...
Kwa mujibu wa tovuti ya TFF, Alfred Lucas ameteuliwa kuwa Afisa Habari mpya wa TFF kuanzia leo April 27, 2016.
Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya...
Heshima kwenu wadau. Kwa muda mrefu sasa tumeshuhudia club ya Simba ikichechemea katika ligi kuu soka Tanzania bara.
Nimejaribu kurejea nyuma nikagundua kitu. Yaani timu ya Libolo ya Angola...
Mechi kati Yanga na Coastal Union ni moja ya mechi zilizo jaa utata mwingi sana, sasa hapa ndipo ninapo wadharau watu wanaopenda michezo Tanzania kwani mara makosa yanapo involve Yanga na Simba...
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, pamoja na mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam, leo wanajitupa viwanjani kucheza mechi zao za viporo vya ligi hiyo baada ya kuwa kwenye mashindano ya...
Winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria anayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association)...
Watanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars) Mei 29, 2016...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitangaza klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kupanda Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao kutoka katika kundi C ya Ligi Daraja la Kwanza chini...
Katika kipindi cha msimu wa mechi za klabu bingwa barani Ulaya kumetokea na Jambo ambalo lilikuwa likizungumzwa sana . Hasa katika mechi mbali mbali za klabu ya Barcelona ya Uhispania, yenye...