Rais wa Chama cha Soka Somalia ameonyesha kuwa michezo si uhasama kwa kutoa mwaliko kwa Kikundi cha Wanamgambo cha Al-Shabaab kushiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo.
Big up sana!
Chanzo: BBC Radio
Hakuna uzembe na upuuzi mkubwa kama uliofanywa na TFF wakiongozwa na Jamal Malinzi...
Mbwana Samata katutoa kimasomaso watanzania. Ni mchezaji pekee kutoka Tanzania kupata tuzo kama hii... Cha...
Lionel Messi akiwa na Magoli 3 tu alipata majeraha yaliomuweka nje ya dimba kwa takriban miezi miwili wakati huo Christian Ronaldo akiwa na goli 7,ikaanikwa hapa kuwa Messi anaweza rejea na...
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Na Pia Ni KITUKO Kama Siyo KICHEKESHO Cha Kufungulia Mwaka Leo Timu Mbili Kubwa Na Kongwe Hapa Nchini Tanzania Kama Siyo Afrika Mashariki Nzima Simba Na Yanga Kwa...
Mchezaji Bora wa Ndani Barani Afrika na mshambuliaji wa TP Mazembe Mbwana Ally Samatta amemtaja Mwenyekiti wa Zamani.wa Simba Ismail Aden Rage kama mmoja wa watu muhimu waliochangia mafanikio...
Pata updates za tuzo za soka za bara la Africa. Ambapo kwa mara ya kwanza, Tanzania inawakilishwa na Mbwana Samatta.
==============
========
UPDATES..
=============
Mbwana Samatta...
Katika timu zinaongoza kwa kuuwa vipaji na ndoto za watanzania ni Simba na Yanga.
Nasema haya maana hata Mbwana thamata leo hii angekuwa anachezea timu hizo,Asingekaa aonekane wala kuthaminiwa...
Habari za jioni!
Nimeingia mtandao wa BBC Sports nikashangaa jinsi nguli wa soka Afrika Yaya Toure akiongea upuuzi. Naona kama hajakubaliana na Aubemeyang kushinda tuzo! Yeye ni role model...
Adele's Hello Performed In Swahili May Be Even Better Than The Original!
The best part about Hello being literally everywhere is that we get so many great covers! Remember how that Korean High...
Mafanikio aliyoyapata mchezaji nyota wa Tanzania Mbwana Samatta ni makubwa sio kwake tu bali kwa taifa zima kwani amepeperusha bendera ya Tanzania kwa mara ya kwanza mchezaji bora wa Afrika...
Mtoto huyu ana kipaji kikubwa Sana ila ukimwangalia vizur ni mchezaji anaecheza mpira Kama hobby tu, Anacheza kisuperstar. Huyu anapaswa kushauriwa kuangalia mbele. Na huu ni ugonjwa wa wachezaji...
TETESI ZA SOKA ULAYA- JUMAMOSI 09.01.2015
Real Madrid wanamtaka beki wa kati wa Everton, John Stones, 21, kufuatia ushauri wa kocha waliyemtimua Rafael Benitez (Daily Mail), Manchester United...
Nimeangalia kwa makini sana kupitia Mapinduzi Cup naona mapro wengi ni mzigo tu na nashawishika kiamini kwamba ni kweli ni dea za wanaojiita watu wa mpira
sijui wenzangu
Msaada, Hivi soka la tanzania linasimamiwa Clouds FM au TFF?
Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka...
Hii nchi kuna watu wanapaswa kufungwa au kupewa adhabu kali iwe fundisho. Miongoni mwao ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na safu yake ya uongozi. Ningekua na mamlaka Malinzi leo angelala "Keko au...