Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu ni mtandao unaomilikiwa na NBC TV network na ni unaoheshimika duniani kwa habari zao za uhakika, lakini nimeshindwa kuyaamini macho yangu wakati nasoma habari zao kuhusu African player of the...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimeamua kuandika walau kwa uchache baada ya kuona na kufuatilia nidhamu ya Kapteni wa timu ya Azam FC, John Boko tangu alipokumbwa na tukio la kudhalilishwa na Juma Nyoso wa Mbeya City. Boko...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Sijui kama wapo wrong au ni sahihi jamaa ni mtunisia!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Moderator futa hii nilikosea heading na uache huo uzi mwingine
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Closed
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini...
2 Reactions
108 Replies
14K Views
Nimekua nikifuatilia sana hizi zinazoitwa dakika za nyongeza sioni uhalisia wake maana mpira unakufa muda mwingi sana lkn dk zinakua chache natambua [rerogative ya refarii kwa sasa lkn sidha i...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natoa pendekezo timu ya Taifa ya Tanzania Ifungiwe kwa muda mpaka tutakapo pata muafaka wa timu mpya ya taifa wadau toeni maoni yenu hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thomas Ulimwengu amepata ofa ya kwenda kuchezea ligi ya ufaransa kwenye timu ya st Etienne inayoshika nafasi ya sita Tumwombeeni afanikiwe.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
ILI SOKA LIKUE INABIDI TUWAPE RUHUSA MATAJIRI KUWEKEZA KATIKA SOKA HASA KATIKA CLUB KAMA WALIVYOWENZETU NAIMBA SERIKALI IACHANE NA MASUALA YA KUJIHUSISHA NA SOKA IWAACHIE WATU BINAFSI TOA MAONI...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Kiambatanisho cha nakala ya mkataba wa Haruna Niyonzima kipengele cha kuvunja mkataba kama kinavyosemeka. Kwa sababu walizozitoa Yanga na mkataba unavyosomeka, je wako sawa? Au walikurupuka ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mcheza kriketi maarufu wa West Indian amelambwa faini ya pauni 4,900 (zaidi ya Sh million 15) katakana na kitendo chake cha kuomba ‘mtoko’ kwa mtangazaji wa like wakati akihojiwa. Chris Gayle...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
nimesoma habari hizi kwa jamaa mmoja kuwa Mo Dewj kama alivyosema before yupo tayari kuichukua Simba na tatizo limebaki kwa Hans Pop kwa maana ya kuwa wengine wote wapo tayari au wamekubaliana na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mapinduzi Cup Mafunzo vs Mtibtwa 10:15. Yanga vs Azam FC 2:15. Unatabiri nini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bi Mdada aliyechezesha mechi ya Mtibwa Sugar na Azam FC ameondolewa rasmi kuchezesha michuano hiyo. source: EFM ‬.
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Rafael Benitez amefukuzwa kazi kama meneja wa Real Madrid, miezi saba tu baada ya kupewa kazi hiyo Bernabeu. Benitez, 55, aliondolewa kufuatia mkutano wa bodi ya klabu hiyo siku ya Jumatatu. Kocha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tukio la kukataa kuuza hisa zao kwa Mo Dewj kwa madai kuwa Club ni kubwa sana sijajua walitumia mchanganuo gani kuona kuwa Bil 20 kwa Simba ni chache.Walipaswa kuangalia kwa miaka 10 team...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mechi za soka kupigwa Usiku pale Zanzibar inawezekana, Sisi huku Bara tunashindwa vipi wadau?
0 Reactions
3 Replies
979 Views
NA MOODY KABWE Yale aliokuwa anayasema mwenyekiti wa YANGA AFRICA BW YUSUFU MANJI Nimeaza kuyaona leo nlikuwa natazama mpira kati ya MTIBWA SUKARI vs AZAMFC MAARUFU MAKONTENA FC Kiukweli...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Dk. 66 Mnyama kashatandikwa 2-1 na Jamhuri.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…