Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakati nikiisoma taarifa ya yanga ya kuvunja mkataba na mchezaji huyu,sababu kubwa ni kua amekiuka baadhi ya vipengele vya mkataba wake hivyo kama club imemvumilia na imefika mwisho. Sakata hili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Angola: São Silvestre - Kenyan Alex Olepetir Wins 60th Edition Luanda — The Kenyan racer Alex Olotopipe won Thursday the 60th edition of the Luanda yearend São Silvestre road race. The runner who...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Mimi Ni mwanachama wa yanga naipongeza timu yangu kwakuchukua hatua dhidi ya wachezaji watovu wa nidham lkn kitendo cha kudai fidia nimepata shaka na viongoz wetu
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Mashabiki wa Arsenal wamemiminika kwenye nyumba za ibada huko nchini Nigeria saa chache baada ya makundi ya UEFA kutoka na kujikuta wao wamepangwa na Fc Barcelona. MAONI YANGU: Arsenal kuwatoa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimenet sana leo krbia nile sema daah mshenz kanichania mkekaaa
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Hii ni hali ya kushangaza kwa shirikisho letu la mpira Tanzania, Timu za Simba na Azam hazikuwa na.michuano yoyote ya kimataifa wala kitaifa tofauti na ligi kuu ya vodacom lakini wanaviporo vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wachezaji wa stand united haruna chanongo na abuu ubwa wameenda mazembe kwa majaribio safari hiyo watakiwa waondoke watatu lakini mohamedi ibrahimu wa mtibwa simu yake haikupatikana alipotafutwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Manchester City ya Uingereza Yaya Toure alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji watano waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika inayotolewa na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wadau Huyu Haji Manara ni zaidi ya msemaji Jamaa yupo vizuri kwenye uchambuzi wa soka Yupo vizuri kichwani Na jamaa ni mfata principal Angalia anaongea azam tv
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo bado magumu kipindi cha pili dk.66 Naona wadau wapo kimyaaa na up todates. Ila Ndanda wanacheza sana offside trick.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mchezaji matata wa timu ya taifa ya ivory coast Steve 34,ambaye alikuwa kwenye ligi ya bundasiliga amekutwa amefariki ndani ya mto ujerumani ,steve alipotea tangia Dec 12 mwaka Jana na mwili wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana wa lambalamba kule pande za chamanz nje kidogo ya jij la dar es salaam jana walipata pataxhika nguo chanika kwa ushind mwembamba wakiwa wenyej pale chamanz kwa ushind wa 1-0 goli likifungwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kupitia ukurasa wao wa Facebook timu ya arsenal kupitia mchezaji wao oxlade-chamberlin wanawatakia heri ya mwaka mpya!! Cheers wana arsenal!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ee bwana ma GT wenzangu mzuka! Hii imenishangaza sana. Mshahara wa Cristiano Ronaldo mshambuliaji machachari wa Real Madrid kwa wiki ni mara mbili zaidi ya David Cameron waziri mkuu wa Uingereza...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Winga wa Azam,Farid Musa Maliki Shaa wiki ijayo atakwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Olimpija ljubljana inayoshiriki ligi kuu ya Slovenia. Tumwombee dua aweze kufanikiwa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Matokeo baada ya R"19" ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ 0 ◆ EPL table ⇩ club | ☆ | Points ⇩ Arsenal ♢ 39 ♢ point Leicester ♢ 39 ♢ point Man City ♢ 36 ♢ point Tottenham ♢ 35 ♢ point C.Palace...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU Ni umoja miongoni mwa wanachama na mashabiki wa timu ya YANGA AFRICA SPORTS CLUB wanaosaidiana katika shida na raha mbali mbali pamoja na kujenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cha kufanya 1.fungua hiyo link 2.creat your duta(save hiyo namba itakayotokea baada ya kufungua link. 3.Tengeneza group la whatsapp 4.Add hiyo namba uliyosave kwenye group hilo. 5.Anza kupata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
29 December 2015 Nairobi, Kenya Alikiba performs Nakshi Mrembo Live @ Koroga Festival Source: Capital FM Youtube
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…