Arsene Wenger wants to sign Southampton's Victor Wanyama in the January transfer window and will test the Saints' resolve with a 15million bid.
.
The Kenyan midfielder has been a revelation since...
Hongera wazir wa michezo kwa kuirudisha timu ya Stand utd, chama la wana!! kwa viongozi na wamiliki halali wa timu. Baada ya udhamini wa Acacia iliibuka kamati ya uongozi illiyowekwa na mkuu wa...
Nilianza kuwa na wasiwasi siku nyingi lakini sasa nimejiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa Jerry Murro hastahili kushika nafasi aliyo nayo pale Yanga. Anaweza kuwa na elimu (knowledge) ya...
Mchezaji machachari wa mancheater united Martial ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa watoto maarufu kama Golden Boy. Tuzo hii huchaguliwa na kura za waandishi wa habari za michezo barani ulaya...
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni...
Jamani hebu tupeni msaada sisi wa Mashabiki tunaoshabikia Man Utd na Simba kwa pamoja, hali zetu sio nzuri kila kukicha afadhali ya jana, tupeni ushauri ila sio wa kuhama.
Maafisa wawili wakuu zaidi katika usimamizi wa kandanda duniani rais Sepp Blatter na mwenyekiti wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michel Platini, wamepigwa marufuku ya miaka 8 ya kutoshiriki...
Simulizi hizi zitaisha lini!!!!???????
Kila mchezaji bora alitaka kumnunua!!!
Arsene Wenger has admitted he regrets not luring Raheem Sterling to Arsenal when the Manchester City winger was a...
1
YOUNG AFRICANS SC
11
27
4
SIMBA SPORTS CLUB
10
22
5
STAND UNITED FC
11
19
8
TOTO AFRICANS SC
11
16
Kutoka uwanja wa Kirumba, Mwanza, Toto African watamkaribisha mnyama kutoka Msimbazi...
Ni habari zinazotrend kwa sasa kwenye media kubwa kubwa England. Mkakati wa mmiliki wa club ya Chelsea ni kumchukua Guus Hiddink amalizie msimu, huku akiangalia uwezekano wa kumchukua Diego...
Maneno haya (sijui kama yeye mwenyewe anakumbuka) aliyazungumza Shaffih Dauda January 2010 baada ya stars kushindwa kufuzu AFCON 2010 na World Cup mwaka huo chini ya maximo.
Katika uchambuzi...
Wakati club za Roma na Monaco zikiendelea kumpigia magoti Mou kutua kikosini kwao, habari zilizo chini ya kapeti ni kuwa Jose Mourinho kutua kwenye club ya Manchester United na Pep Guardiola...