Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika magazeti ya leo yamepoa kama hakukuwa na mechi yoyote jana, kwanini hawajaiandika magazetini? Acheni unafiki nyinyi hivi mngeshinda kweli hapa leo si tungesoma kila page mambo ya stars...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naona jana baada ya Taifa Stars kuongoza basi vikaanza kauli mbiu ya hapa kazi tu. Mara mechi za nyuma January makamba aliruhusu washabiki waingie bure tena ikiwa ni wakati wa kampeni, mara...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii aibu hii,Team haibebeki.Kila siku hatuna furaha. Ukiangalia mechi za hii team kila siku roho juu.Haifai hata kwa kulumagia hii team. Nakuomba chondechonde ifute tu hii team isije ikaha kukutia...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Timu yetu ya taifa leo imefundishwa mpira na Algeria kuwa kuipgwa 7-0! Hii ni rekodi.Sijawahi ktk akili zangu timamu kuwahi kusikia Tz ikipata kisago cha aina hii. Sote tunawajibika lakni wewe ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshuhudia mechi nyingi za waarabu. Mechi zao ni fitina na ulaghai wa kila namna. Watanzania tujifunze fitna kwani wenzetu wana fitna nyingi sana. Yaani kila saa hata wakiguswa shati...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni lazima nihakikishe naangalia mechi nikiwa na Diclofenac, Asprin au Diclopa pembeni Pia kwa wale wenye Presha siwashauri kuangalia mechi hii. Nina matumaini makubwa na Timu yetu Nawatakia kila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunawatakia kila la kheri vijana wetu wa Taifa Stars katika kulitumikia Taifa letu uzalendo wenu ndio ushindi wetu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Hii ni mechi ya kwanza ya mzunguko wa pili kufuzu kuelekea Kombe la Dunia 2018. Ni mechi muhimu kwa timu ya taifa ya Tanzania maana itakuwa nyumbani uwanja mkuu wa Taifa. Katika michezo mitano...
1 Reactions
526 Replies
48K Views
A film to be directed by actor Angelina Jolie about the life of conservationist Richard Leakey will be shot in Kenya, Leakey told reporters on Monday, giving what Nairobi hopes will be a boost to...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Ni siku chache zimebaki kabla ya kukutana na Algeria ili tufuzu kwenye awamu ya makundi ya kombe la dunia. Mkwasa afanye nini? Kikosi kilichoanza kilikuwa vizuri ukiondoa mihemko ya Thomas...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Doping could cast a shadow over Kenya at the 2016 Rio Olympics unless the East African nation implements credible systems to root out drugs cheats, said veteran Kenya-based coach Brother Colm...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Naangalia mechi ya Taifa Stars vs Algeria kupitia TBC, cha ajabu na cha aibu move muhimu hazifanyiwi replay yoyote kwa faida ya watazamaji. Hii ni aibu kwa television ya Taifa kuzidiwa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
_ebu jiulize ni makocha wangapi waliopita stars..(kisha jibu ) _je unazani makocha hao toka nyuma mmbaka sasa stars inaongozwa na MKWASA kuna aliye ipeleka stars katika mashindano yoyote makubwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
_mshambuliaji wa manchester united jesse amejumuishwa kwenye kikosi cha england kitakacho pambana na france siku ya jumanne.ikiwa ni mara yake ya kwanza kuitwa kwenye kikosi cha wakubwa cha england.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikua siamini na nilichotarajia ni sare tu kwa kua tunataka sifa tu sio kushinda mchezo tumeshukuru kwa sare ila bao la samata linazidi kumsafishia njia ya kwenda kua top wa mabao wa lile ya...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
_baada ya mechi za kimataifa ambazo bado zinaendelea kuchezwa manchester united ikiwa katika nafasi ya 4..inatarajia kucheza na watford ugenini...draw walizozipata man city pamoja na arsenal...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
unaongoza gol mbli bila,hata dk ya 70 bado unatoa mtu ambae alikua anafanya kaz kubwa unaweka m2 wa show game mudathir alicheza vema na himid mao pale kati na kufanya stars kudominate game,coz...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu naomba mwenye taarifa ya mechi ya Leo inaanza saa ngapi?, na je television yetu ya taifa itaonyesha mechi hii na kama television yetu ya taifa haitaonyesha ni television ipi itaonyesha ili...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Abdallah 'king' Kibadeni ameteuliwa na TFF kama kocha mpya wa Kilimanjaro Stars kuelekea mashindano ya CECAFA ya Chalenji yatakayoanza Novemba 21 huko Addis Ababa Ethiopia. Mashindano yataanza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…