Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kilio cha Wanasoko nchini kimesikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) baada ya leo kuanza kuweka habari zake kwenye tovuti ta mtandao huo ambayo ni Home | Tanzania Football Federation |...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya yule mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika huu ukanda wa CECAFA, leo usiku ilikua uwanjani na ikaibuka na ushindi wa 3-0.. Baadhi ya picha ni kama ifiuatavyo.. Huyu white anaitwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna habari zisizo rasmi mashindano ya kombe la africa mashariki liloisha hivi karibu kuwa eti azamfc ilitoa mchango wa siri kwa musonye na tff shs milioni 300 ipate upendeleo wa kuchukua ubingwa...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Baada ya Simba SC kuutangazia umma juzi kua kuanzia sasa zile jezi bora kabisa kuwahi kutengenezwa katika ardhi yetu ya Tanzania, unaweza kununua online kupitia mtandao wa https://www.jumia.co.tz/...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Ndugu Dunstan Tido Mhando kweli ni mtu wa mageuzi kwa maendeleo. Hapana ubishi tokea aanze kazi Azam TV pamekuwa na mabadiliko ya kimuonekano na kivitendo kwa taasisi hii na mengi tunayasubiri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kukidhi maombi ya wananchi kutaka timu ya soka ya Taifa letu iwe na kocha mzawa, TFF imemteuwa C. B. Mkwasa kuwa kinara wa benchi la ufundi. Kinachonitatiza ni kuwa kocha huyu bado ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haina ubishi kuwa mawakala na mameneja wana mchango mkubwa kwenye kufanya michezo iwe biashara, kutoka kwenye mtazamo wa sasa ambapo soka letu bado lina sura ya ridhaa. Kwa mujibu wa tovuti ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbeya/Zanzibar. Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema hana wasiwasi na mfumo wa 3-5-2 unaotumiwa na Azam FC tayari ameshapata mbinu ya kuwamaliza katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajanvi naomba ku- declare interest mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu. Kwa leo naomba niulize kwenu swali ambalo mimi binafsi sipati jibu. Ni kwanini mchezaji wa mbele (forwardman) ni aghali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Live stream na zantel bundle siku live hd bila chenga
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau hii mechi mbona mmeichunia sana tunaomba updates zenu pls hasa mliopo uwanjani, nasikia mpaka sasa dakika ya sita simba 1 URA 0. Naomi updates tafadhali mi sipo uwanjani na nana kimya
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina uwezo mkubwa wa kucheza kandanda, na nikisimama namba 10 namba 9 atatupia tu atakavyo. Natamani kucheza hizo vilabu vya ligi kuu bara. USHAURI TAFADHARI!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani hii kwangu haionekani hata kwenye menu kuu haimo ..nauliza tunaipataje ama kwanza kulipia ndo iingizwe menu kuu? tafadhari!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unapolijua tatizo ndipo unapaswa kuandaa mipango ya kulitatua tatizo lako. Ila nashangaa timu hii inavyoongozwa bila ubunifu na ushirikishwaji wa wananchi na wadau wa soka hapa Mtwara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unruly Gor Mahia fans torch police and Nairobi County vehicle A crowd of Gor- Mahia fans on Wednesday evening torched two vehicles belonging to the Nairobi City Council and a traffic police...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva wa tatu kutoka kushoto akiwa na Washindi wa bahati nasibu Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup ImanKajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara Rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Kuna michuano ya Kombe la Dunia la Netball inayofanyika nchin Australia kuna timu za Africa zinashiriki mfano Malawi, Uganda, south Africa ambazo zimeonesha kiwango cha juu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aug 11, 2015 Nairobi, Kenya Gor Mahia and AFC Leopards players strike over unpaid salaries Gor Mahia and AFC Leopards players have threatened to boycott their respective Kenyan Premier League...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Klabu bingwa barani Afrika,ES Setif imevuliwa ubingwa kwa kuchapwa mabao 2-0 na El Merreikh ya Sudan jijini Khathoum. Setif walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza. El Merreikh...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wapenda soka hatuna budi kuwapongeza Viongozi Wa timu ya Simba kwa kuadhimisha "Siku ya simba".
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…