Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

KOCHA wa Al Khartoum ya Sudan, Kwesi Appiah, amedai kushangazwa na jinsi michuano ya Kombe la Kagame inavyochagua wachezaji bora wa mechi na kudai kuwa ndiyo maana soka la Afrika haliendelei...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wikisasa wanantumia ni beti timu fulani kwa.sh 2000.ntapata buku 18'000 Mkiona kimya mns hata buku mbili aipo tunasubiri barcelona.psg.porto.chelsea...tujaribu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A prankster who managed to get past FIFA security at the organisation's Zurich headquarters overshadowed Blatter's press conference by showering the embattled governing body's chief with fake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana sport, nisaidieni kwa hili swala hivi, mpira wa kurushwa , ukirushwa moja kwa moja golini bila kuguswa na mchezaji yeyote na ukatinga nyavuni inakuwa Goli au sio Goli???? make kuna...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
naamini azamtv na supersport kuna kamvutano wa kibiashara hilo lipo duniani lakini watangazaji wa supersport hatuwasikiki waikejeri azamfc lakini wa azmtv ingekuwa hivyo ungesikia fedhuri zao hasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili CECAFA wamelifanya kwa bahati mbaya au ni ile ile ya kutembea na matokeo mkononi? Eti mshindi wa kwanza wa kundi alimo Azam atacheza kwenye hatua ya kwanza ya mtoano (robo fainali) na mshindi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anaekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta amedhihirisha kwamba anataka kucheza soka barani Ulaya baada ya kuikataa ofa ya miamba ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Klabu ya Azam ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya na klabu ya El Mereikh ya Sudan, Allan Wanga jana kwenye makubaliano yaliyotiwa sahihi mjini Dar es...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgombea urais wa CCM John Magufuli hana historia yoyote katika maisha yake hususani toka awe mwanasiasa ya kujihusisha na mambo ya sanaa, burudani na michezo. Hakuna kumbukumbu zozote...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Manchester United vs San Jose Earthquakes (3-1) A…: https://youtu.be/wNF-R3c7g7k
1 Reactions
3 Replies
977 Views
mwenye kufahamu maeneo yenye gym kwa iringa anijuze,hasa na gharama zake
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United ya Shinyanga, Amani Vincent akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam. Kampuni ya uchimbaji madini ijulikanayo kwa jina la Acacia Mining imetangaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gor Mahia 3-1 KMKM: Olunga double steers slick K'Ogalo past Zanzibar opponents Michael Olunga claimed a brace as Gor Mahia beat Zanzibar's KMKM 3-1 in a Group 3 match of the 2015 Cecafa Club...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) wanatarajiwa kuondoka kesho jumatano asubuhi kwa Rwanda Air kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
... ....
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Jomo Cosmos iliyopanda kucheza ligi kuu ya Afrika kusini. Uhuru ambaye msimu...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Sahau kina Pele na Maradona, Ronaldinho ni kitu kingine. Weka mbali takataka kama Messi na Christiano Ronaldo. Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa...
13 Reactions
214 Replies
24K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group Imani kajula Akiwa Pamoja na Rais Wa Simba Sport Club Evans Aveva wakati wa Uzinduzi wa Simba Day Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…