Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Amefunga hat-trick ndani ya dakika 2 na sekunde 56 kwenye mechi ya Southampton na astoni villa Other fastest-ever hat-tricks (highlighted in red for English premier League) • Tommy Ross...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
lkiwa wamebakiza mechi nne tu,mbili za ligi na wanatakiwa washinde moja ili wawe mabingwa wa la liga,moja na atletico club fainal ya kombe la mfalme na hii ya tarehe sita mwez ujao fainali ya...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Club ya Free State inayoshikilia nafasi ya tisa ktk ligi ya nchini Afrika Kusini tayari imemsajili Mrisho Khalfani Ngassa kwa mkataba wa miaka minne kkt kuitumikia timu hiyo. Akiongea baada ya...
0 Reactions
63 Replies
13K Views
Kuna habari kuwa kombe la Kagame Yanga hatoshiriki. Madai kwa namna moja mwaka jana aliwakataa yanga kutoshiriki baada ya hapo alitoa maneno makali sana na kuifedhuri yeye musonye anafikiri yanga...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ukiangalia takwimu Morinho amebena ubingwa wa epl zikiwa zimesalia mechi tatu, pili ametoa mchezaji bora wa mwaka kwa mujibu wa PFA, na pia timu yake Imetoa wachezaji sita wa msimu. Inakuaje kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini. Winga...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
The former Barcelona boss insists the Argentine is the greatest player the sport has ever seen after he helped to eliminate Bayern Munich from the Champions League Pep Guardiola says Lionel...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Pata matokeo, msimamo na taarifa zote kuhusu ligi na timu za ligi kuu bara (Vodacom Premier League) hapa http://play.google.com/store/apps/details?id=com.soka.soka
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland. Kocha mkuu wa timu ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Manchester United has reported a loss for the first three months of the year, hit by a decline in broadcasting and matchday revenue. It lost £2.9m between January and March. That compares with an...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Nasema hivyo itakuwaje muandae Kagame Cup aka bonanza la Musonye ilihali muandaaji atafute wadhamini mnashindwa kutafuta watu wa kuwasaidia kulipa ushuru? Kwanza huo uwanja wa kaitaba ni uwanja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii tie itaamuliwa na hao watu wawili ambao ndio go-to men wa timu zao. Wanacheza role moja, majukumu yao yanafanana, na wana vitu vingi vinaendana; ukizungumzia utulivu, umakini, ufundi...
6 Reactions
280 Replies
19K Views
UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG),Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke. Hiyo ni...
2 Reactions
40 Replies
19K Views
Ule mtafaruku kati ya Shirikisho la ligi Uhispania na serikali kuhusu ugavi wa mapato ya hati miliki ya kurusha matangazo umepelekea La liga kupigwa marufuku kuanzia tarehe 16/05. Tujiandae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa jamaa wana viwanja bora,pesa nyingi,mashindano mengi ya ndani yenye udhamini wenye pesa nyingi lakini virabu vyao vinaonekana havifanyi vizuri kimataifa...wanaonekana kuwa "wamchangani"
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bavaria au Bayern Munich kutoka ktk mji wa Munich nchini Ujerumani leo wanawakaribisha Barcelona ktk dimba la Alianz Arena ktk mechi ya marudiano hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa barani...
0 Reactions
100 Replies
9K Views
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO, TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please! shukrani
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa timu Ya Stand Utd ametangaza kumshitaki msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire kwenye kamati Ya nidhamu na uongozi Ya Ligi ,kutokana na maneno Ya chuki, na udhalilishaji dhidi Ya Stand...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Itatuchukua mda sana Tanzania kubadilika na kuendeleza mpira kiukweli na sijui ni ubabaishaji gani upo katika hizi timu mapacha maana amani iliopo Yanga ninahakika haitadumu Itahamia kwa mtani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu ni channel ipi inayorusha mechi ya UCL katika king'amuzi cha star times. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…