Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Aisee huyu Mh. Mwigulu anaipenda sana timu ya Yanga, mimi binafsi simkubali ktk siasa zake ila kwa hili la kuichagua Yanga namuunga mkono 100% japo mimi ni mikia nasubiri kushuka daraja mwakani...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Matokeo Yanga 4 - Polisi Moro 1 Kwa Matokeo Hayo Yanga Imefanikiwa Kutwaa Ubingwa Wa Ligi Ya Tanzania Bara ========================================================= Ni mechi ya ubingwa kwa...
2 Reactions
349 Replies
34K Views
HABARI za michezo katika siku za hivi karibuni zimekuwa zikipambwa zaidi na habari kuhusu nafasi ya Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kwa mujibu wa msimamo wa ligi na hatua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu jamaa anafanyia kituo hicho?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uongozi wa klabu Ya soka Ya Yanga unapenda kuwaalika wananchi wa Tanzania na Nchi jirani kuungana Basi kesho katika shamrashamra za ushindi wa ubingwa wa michuano Ya ligi kuu nchini. Katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Harry Kane wa Tottenham Spurs, Alexis Sanchez wa Arsenal, Phillippe Coutinho wa Liverpool, David De Gea wa Manchester United, Diego Costa wa Chelsea na Eden Hazard wa Chelsea, wamechaguliwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Eliud Kipchoge crosses the finish line to win the men's 2015 London Marathon on April 26, 2015. PHOTO | SEAN DEMPSEY | AFP Eliud Kipchoge led a Kenyan clean sweep of the podium places as he won...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Taja majina ya hawa wachezaji kama wewe kweli ni mwanasoka
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chelsea ya Mou kuendeleza ubabe dhidi ya Arsenal ya Wenger? Saa 12:00 jioni mbichi na mbivu kujulikana! Usikoseeeeeeee! Sote jujumuike hapa!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jf naomba matokeo ya mechi ya azam na stand united.itakuwa vizuri nikipata na majina ya wafungaji.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Beki wa Simba, Abdi Banda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa tuhuma za kushiriki upotevu wa gari lililoibiwa. Habari za uhakika zilizoifikia SALEHJEMBE zimeeleza kuwa Banda...
-1 Reactions
37 Replies
7K Views
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......
0 Reactions
21 Replies
6K Views
real madrid watakua timu ya kwanza kuchukua cl kwa mara ya pili mfululizo
0 Reactions
1 Replies
748 Views
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa. dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo. kibaya zaidi inacheza na timu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mbeya city fc leo kaua wakata miwa wa kagera. Mcc daima
0 Reactions
0 Replies
710 Views
“No one can ever brainwash me to make me believe that Sugar Ray Robinson and Muhammad Ali were better than me,” Mayweather told ESPN. “But one thing I will do, I’m going to take my hat off to...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Manny Pacquiao will don the most expensive shorts in history as he takes on Floyd Mayweather in their superfight on May 2. Advertising space on the Filipino star's shorts has been sold off for an...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Huu ni mwendelezo wa ligu kuu Tanzania bara na leo tar 24/04/2015 Yanga ya dar es salaam inaikaribisha timu ya Ruvu shooting ya pwani. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali na wakusisimua kutokana na...
4 Reactions
241 Replies
25K Views
Ninashauli mechi ijayo yanga icheze kombe likiwa uwanjani kusudi wakishinda wapewe kombe lao kama wanavyofanya ndugu zetu wa uingereza kwenye ligi yao pale bingwa anapofikisha pointi ambazo hakuna...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…