Jana tumeshuhudia vijana wa Jangwani wakishinda kwa mbinde sana mbele ya Stand Utd, Leo kivumbi kingine ambapo Simba watakuwa na kibarua kigumu sana mbele ya Mgambo JKT toka jijini Tanga timu...
Unajua kwanini yanga hawataki kusikia simba wanashika nafasi ya pili?
Kabla ya ligi ya msimu ujao kuanza kunakuwa na pambano la ngao ya jamii inayoikutanisha mshindi wa kwanza na wa pili...
Mkoani Arusha mwishoni mwa juma hili kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya timu nane kutoka mkoani hapa.
Lengo la michuano hiyo ni kuwakutanisha wapenda soka mkoa...
Wapenzi na wadau wa mpira wa miguu ni matarajio yangu mlifurahi mitangani ya UEFA CL jana usiku.Nimekuwa nikifuatilia sana waamuzi wetu wa mpira wa miguu Tanzania hivi karibuni au tangu zamani...
From right to left, the then Barcelona manager Louis van Gaal, assistant coach Ronald Koeman, keepers' trainer Frans Hoek and assistant trainer José Mourinho during a friendly in Amsterdam in 1999.
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo.
Atletico Madrid, timu ya...
Atretico Madrid wametembea kwa miguu kuelekea katika Dimba la Estadio Santiago Bernabeu ambapo ndipo nyumbani kwa mabingwa watetezi wa UCL na pia ndio wenye rekodi ya kubeba ndoo hii mara kumi...
Katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara leo tar. 21/04/2015 Yanga Afrika ya jijini Dar es salam itakuwa uwanja wa nyumbani (uwanja wa taifa) kuikaribisha timu ya Stand United (Wapiga debe)...
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Afrika Kusini (SAFA) Dr.Danny Jordan kufuatia kifo cha nguli...
Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu
Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na...
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.
*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...