Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwelii inaumiza sana namagoli aliyokuwa anafunga UK Leo hiianaiishia kukumbatia wanaofunga huko fc barca jamani jamani inaumiza sana!!najiuliza no Amepigwa msumari aka???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wadau wa hiyo radio nasikia wanakipindi cha michezo huwa ni saa ngapi sisi wengine tupo nje ya Dar tunaipata kwenye internet tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo tunaanza ile kalinyekalinye wa kuwacheki miamba wa soka Ulaya, sasa wale wakali 11 BEST wamewekwa hadharani - Angalia kama timu yako imetoa walau mmoja tu. Huku vinara...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana hadi naondoka ukumbi wa PTA Sabasaba nilikua sijaamini jinsi ngumi za TZ zilivyo, bado zinaendeshwa kienyeji na kimasikini sana! Kulikuwa na vituko viingi mno, kwa ufupi nilikua very...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kama mnavojua leo ni UEFA Champions League tulio wengi tunapenda mechi za Ulaya tatizo DStv hatuna na gharama kubwa kulipia. Mwenye kujua websites yenye kuonyesha live mpira msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Kapiga hat trick, kwenye ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Levante. Jamaa siku za karibuni yupo on fire sana. Mpaka sasa anatofauti ya goli 1 amfikie CR7
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mechi hii si ya kuikosa ila naomba wazalendo wote tuitakie heri Azam na tuendelee kujuzana yanayojiri hapa =========== Kikosi kilichowakilisha Azam FC 1. AISHI MANULA 2. SHOMARI KAPOMBE 3...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Jamani naombeni mnijuze wanapouza tiketi za mchezo wa Azam Vs El Mereikh. cc Amavubi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawauliza wadau wa mpira au TV yoyote hapa nchini mechi hiyo, tv ipi itaoneshwa live Jumamosi, December 13 jibu la nani mkali kati ya...
3 Reactions
637 Replies
98K Views
Pilikapilika za mjumuiko wa wachezaji nyota wa ligi ya kikapu nchini Marekani NBA zinaanza alhamisi tarehe 12 hadi jumapili 15 ya mwezi huu Februari. Kwa sisi wapenzi wa mpira wa kikapu na ligi...
4 Reactions
175 Replies
9K Views
YANGA imedai kwamba iligoma kuuza haki za matangazo ya Televisheni za mechi yao na BDF XI ya Botswana kwa vile Azam TV haikufika dau. Katibu wa Yanga, Jonas Tiboroha, ameweka wazi kwamba mechi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mechi za kombe la shirikisho barani Afrika kwa ngazi ya vilabu zinaanza mwishoni mwa wiki hii. Wawakilishi wa Tanzania Bara Young Africans SC watakuwa nyumbani wakimenyana na BDF XI kutoka...
6 Reactions
190 Replies
21K Views
Sina mengi zaidi ya kuwapongeza. Nyinyi ni kioo cha mkoa wetu wa Ruvuma kimichezo hasa kandanda. Majimaji mmepambana vya kutosha hatimaye mmerejea Ligi Kuu. Tunatarajia ushindani katika mapambano...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Timu ya Toto African ya jijini Mwanza imerejea rasmi katika ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo wa mwisho wakundi B...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
kufungwa kwa mtibwa leo na azam najiuliza alihongwa au alichoka sio sababu ya kufungwa gali 5 hapana mpira alioucheza sidhani kama ndio huo anaocheza
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tukiweka ushabiki pembeni,si dhani kama kuna atakae nipinga kuwa hakuna mchezaji anaecheza mpira wa kuvutia EPL kwa sasa kama Eden Hazard
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Beki na capt wa yanga h cannavaro ameshukuru redioni waboswatana awajawatia goli namnukuu '''kiukweli jamaa wazuri walijiandaa nashukuru mungu tumeshinda!!kingine nashukuru awajatutia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumekuwa tukiuziwa tkt za 5000. Kwa 8000-10'000. Naona hilitatizo limeisha! Ila leo kidogo imekuwa kinyume, nimelipa 5000. Nilipokaribia getini nikasoma imeandikwa 6000!!dini yangu airuhusu...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…