Mshambuliaji matata wa Barcelona Lionel Messi ameibua tetesi za kuondoka Camp Nou baada ya kuanza kufuata ukurasa wa Chelsea katika mtandao wa Instagram.Tetesi za uwezekano wa mchezaji mashuhuri...
mwanasheria wa yanga anadai kuwa kaseja okwi na jaja kuwashitaki fifa sasa kumshtaka jaja ni vichekesho wapenzi mashabiki mmemzomea jaja mpaka akaona kucheza yanga ni dhahama mbrazili kaamua...
kwa wale wadau wanaotumia dstv naombeni mnijuze..hv kile kifurushi cha bomba zile super sport selct 1 na 2 zinaonesha game za england live au ni marudio tu.
Bale was jeered by some home supporters in the second half for failing to find Ronaldo with a pass
Read more: Real Madrid 3-0 Espanyol: Gareth Bale stars to get 10-men Los Blancos back in...
kwa jinsi ninavyo ona man u hata top ten haitahusika maana tim imefanya usajili usio na mipango.
Tim ile ilikua na mapungufu ya ulinzi na midfield sasa wamesajili falcao na di maria kwa mihela...
Okwi amepeleka malalamiko TFF ya kuidai Yanga USD 62,000 [zaidi ya 107m].
Mchangunuo wa huo mkwanja ni kuwa hakulipwa USD 50,000 ambazo ni ada ya usajili na USD 12,000 ambazo ni kama mshahara...
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa tangu aanze kufundisha soka miaka 19 iliyopita, hajawahi kushuhudia kitendo cha kishirikina katika soka kama ilivyotokea hivi karibuni...
Junior Malanda mchezaji wa Wolfsburg na timu ya taifa ya Belgium amekufa kwa ajali huko nchini ujeruman. Malanda kwenye miaka 21 ameichezea Wolfsburg mechi 19 mbili kati ya hizi dhidi ya Evaton...
Baada ya kupangwa kundi dhaifu na kuanza tambo za kuitaka Simba SC jana usiku wamepewa mdogo wake Simba SC wakiwa na jezi kama za Mnyama wamechezea.
Kimoja tu kimewachanganya wamekaa jangwani...
Mechi ya Kwanza Itapigwa Hivi Punde Kati ya KCCA na Polisi Zanzibar
Mechi Kali ya Pili Itakua Kati ya Azam na Mtibwa Sugar
Yanga na JKU iTapigwa Saa 2.15 Usiku
Stay Tuned with Mkolaji; Makoye...
Lionel Messi, Cristiano Ronaldo and Manuel Neuer have been named on a three-man shortlist for the FIFA Ballon dOr 2014.
Messi, winner on four occasions, led Argentina to the World Cup final...
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na Golikipa wake Juma Kaseja kuanzia leo baada ya kuwepo kwa hali ya kutoelewana baina ya kipa huyo na uongozi wa klabu.
Mkuu wa Idara ya Habari na...
Ameongea Hayatou,wameperform Owavumi na pia Diamond kutoka Tanzania
UPDATES zinafuata chini kwenye comments
National team of the year- ALGERIA
National women team- NIGERIA
Club bora ya mwaka-...
Mechi Itachezwa Saa Mbili na Robo (2;15 saa za AM) Usiku wa Leo JUMATANO (7/01/2015) kwenye Uwanja wa Amaan
Mkolaj na Makoye watawaletea yanayojiri (Live Updates) kwenye mechi hiyo
kwa sasa...
wakuu nisaidieni wanaojua.hv kifurushi cha dstv bomba cha 17,000TSH. vinahitaji dishi lake na decoder yake au vifaa ni vile vile inatofautiana kwenye kulipa tu???
Uongozi wa Yanga umemtema rasmi na kumtakia kila la kheri aendako!'Kwa kuwa hatudai,tumeona ni vema kumuachia aende aendako...
Aah ni story ya kusikitisha !yupo aliyepoteza,yupo aliye benefit..!