Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
22 Reactions
138 Replies
7K Views
𝗙𝗔π—₯𝗛𝗔𝗑 π—žπ—œπ—›π—”π— π—¨: π—œπ—™π—”π—‘π—¬π—˜ π—‘π—œπ—‘π—œ.....? Lazima tufanye research juu ya Wachezaji wa Kimataifa wanaosajiliwa Simba kwanini 80% wanafeli licha ya kuwa wanakuja na profile nzuri saana? Kosa wakishatua...
1 Reactions
11 Replies
518 Views
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje...
4 Reactions
15 Replies
684 Views
Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu engn namheshimu sana Sio tu kuipandisha Yanga iwe juu pamoja na kuipa thaman yake..Yaan hivi sasa akijipendekeza mtu kutaka mchezaji yanga ajiandae na billion plus Heshima kwako kaka Injini
3 Reactions
1 Replies
298 Views
Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa...
4 Reactions
22 Replies
747 Views
Nabi Yanga 1-1 Al Hilal Al Hilal 1-0 Yanga Yanga 0-0 Club Africain Yanga 0-2 Viper Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana. Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama.... Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua...
2 Reactions
20 Replies
758 Views
Ukiwa unatazama games za Simba jaribu kuweka concentration kwa Mavambo, utainjoi sana.
2 Reactions
12 Replies
979 Views
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day...
7 Reactions
12 Replies
754 Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa kuilipa kampuni hiyo deni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
β€œSimba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day...
5 Reactions
0 Replies
177 Views
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
1 Reactions
13 Replies
809 Views
Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano...
6 Reactions
36 Replies
849 Views
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa...
31 Reactions
302 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…