Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli...
Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango.
Hii inanipa picha...
Kuweka mambo sawa ni kwamba Simba ndiyo waanzilishi wa siku ya club yao (Simba day). Yanga wakaja na Wiki ya Mwananchi ambayo inajumuisha matukio mbalimbali kwa muda wa wiki nzima nakuhitimishwa...
Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo.
Wafuasi hao hufanya maombi kila mwaka ambayo imekuwa desturi, na kwa kawaida...
Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au...
Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC
Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50
Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania
Wamejitahidi...
Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana.
Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na...
Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi.
Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei.
Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa.
Mambo mazuri yanahitaji pesa!
WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO
Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili..
KAFUNGA magoli 3
Here are the predictions for the Ligi Kuu Bara matches:
Pamba Jiji FC 2 - 1 Tanzania Prisons FC (Friday, 15.08.2024)
Mashujaa FC 1-2 Dodoma Jiji FC (Saturday, 16.08.2024)
Namungo FC 2-0...
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba
CHADRACK BOKA
AZIZ KI
CHAMA
PACOME ZOUZOUA
DUKE ABUYA
YAO KOUASSI
PRINCE DUBE
BALEKE
DIARRA
AUCHO
MAX
Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba...
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika
Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema.
Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye...
Viongozi simba sports club VUNJA mkataba wa KAPOMBE na FREDY Michael, VIWANGO gyao ni vidogo kwa Sasa.
KAPOMBE ameichezea Simba kwa muda mrefu Sasa, kinachotakiwa ni kumpa mkono wa kwaheri Ili...
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC.
Najua mtamalizana nao hawa Leo...