Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada.
Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi.
Hata...
Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa...
Nafikiri tatizo kubwa la kwanza lililopo pale Simba ni uongozi. Viongozi wa Simba wengi pale waliopo ni wazee ambao wanaishi bado kizamani awataki kubadilika na kwenda na kasi ya mabadiliko...
Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya...
Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
2. Esperance (Tunisia) – 61 points
3. Wydad AC (Morocco) – 60...
Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu.
Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker...
Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira...
Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba.
Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko...
Muda wa kutubu !
"Unajiuliza ! Kama Azam mwenye quality hii anataabika hivi licha ya kuanza pre-season mapena, sijui zile timu zetu zinazoanza maandalizi 1/8 na usajili umejikita kwa wazawa tu...
Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo.
Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri...
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!
Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku...
Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga...
Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr...
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics...
Tanzania Mungu katupa kila kitu.
1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii.
2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo...
Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029.
Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na...