Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo...
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal?
Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa...
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe.
Mashehe wengi wameonekana na...
Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1.
chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani.
Ukiwauliza...
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.
Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele...
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na...
Leo match kati ya Simba na Yanga
Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa
Mfano Mwijaki ameahidi...
Ahmed Ally kasema atasherehekea kufungwa goli Moja na Yanga Kwani Makolo wengi hawakuamini na walizani watapigwa goli heavyweight.
Je unadhani Ahmed Ally yupo sahihi???
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka...
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na...
Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika...
Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu.
Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi.
1.Presha ya kucheza kwa...
Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo.
Yanga...
Hii nI black and white. Simba Jana waliokolewa na marefa na kukosa umakini wa forward za Yanga.
Jana Dube alienda kushangilia kabla goli halijaiingia. Angekuwa mtulivu angemaliza mchezo.
Goli LA...
Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo.
Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana...
Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu.
Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo...
Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like.
kwa hizi mechi mbili...