Nimeona mtandaoni kwenye shamrashamra za yanga day nikakumbuka habari za awamu iliyopita.
Gerson Msigwa amekata mauno yanayoendana na Kangi Lugola.
Msigwa akiwa na kibukta chake ameshika kiuno...
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya...
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi.
Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale...
Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k.
Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama...
Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu
Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika
Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili...
Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025.
Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi...
Ujumbe huu kwa uongozi wa Simba Day & Yanga wenye imani ya dini ya kiislam (Wasiokuwa waislam haiwahusu)
Mapambio yanaaza ynaanza saa 9 hadi saa 5 usiku.
Swala ya Alaasiri
Swala ya Magharibi...
Nimemsikia Kitenge anasema hapa kuwa uwanja wa Taifa umejaa mpaka mashabiki wengine wameingia uwanja wa Uhuru, swali langu je hao mashabiki nao walinunua tiketi au walipewa ofa tu? Na kama...
Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi.
Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na...
Hapo vipi.
Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha.
Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3...
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini...
Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa.
Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa.
Pitia saiv Youtube...
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia...
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.
Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.
Kama uongozi haujaongea...
Julai 26, 2024:
Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali.
Julai 27, 2024:
Wanariadha wa Korea Kusini...
Kwema Wakuu?
Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo...