Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi...
19 Reactions
67 Replies
2K Views
Kwenye Michezo, ikiwemo soka ndiyo sehemu pekee wanapokutana watu wa Itikadi Tofauti, wanaweza kuwa Chama kimoja cha Siasa lakini wakakutana uwanjani wakiwa Timu tofauti, Na waweza kuwa Mahasimu...
1 Reactions
9 Replies
414 Views
Katika Hotuba yake aliyoitoa Kwenye kilele cha Simba Day, Bwana MO, Ameanza na kumshukuru Rais Samia, kwamba anamshukuru sana Rais Samia, tena kwa kurudia rusia mara kadhaa, hii ilikuwa kabla ya...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana. Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo. Mo alipewa 🎀...
13 Reactions
36 Replies
1K Views
Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki! Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye...
3 Reactions
19 Replies
779 Views
01. Nafasi (Space). Katika mpira wa miguu, nafasi inahusu eneo kwenye uwanja ambalo linapatikana kwa mchezaji. Ni kuhusu kutafuta na kutumia mianya katika ulinzi wa wapinzani. Wachezaji wenye...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Kwa hii kasi ya umeme ya hawa 'Gen Z' wa Simba kuna wazee siku ya tarehe 8 watapimwa umri hadi mpaka wakimbie mechi. Na kiufundi Simba ya sasa ipo aggressive sana, ipo na kasi sana mpaka...
17 Reactions
63 Replies
2K Views
Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Siku zote mpira ni sayansi na sio propaganda Wala mipasho, bado Simba wanayo kazi ya ziada kuijenga timu yao! Muunganiko na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa bado ni mdogo sana, yule Joshua mutale...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani. Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo. Hauwezi ukacheza na...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Mashindano ya Olimpiki yanaendelea huko Paris huku watalii wetu wakiwa hawajui kilichowapeleka huko kwenye mashindano hayo. Kikosi cha Tanzania ni kikosi duni kuliko vyote kwani ni vigumu...
2 Reactions
7 Replies
335 Views
Mambo ya ajabu sana kwa mpira wa kitanzania haswa kwa timu za Kariakoo ila naona Yanga wamejitoa kua wasanii na kua na viongozi wapumbavu. Timu ya SIMBA, mchezaji anapewa mkataba, pesa na kila...
5 Reactions
17 Replies
907 Views
Nimefuatilia mbio za baiskeli katika mashindano ya Olimpinki yanayoendelea Ufaransa, nikagundua kuwa Watanzania wezetu wangeshiriki mchezo huu wote wangerudi na medali. Mfano ndugu zetu...
3 Reactions
11 Replies
566 Views
Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani. Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
Hawa ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya Marekani (USA) Table Tennis Ambayo imeifunga Timu ya Taifa ya China kwenye Mashindano ya Olympic. πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜„πŸ˜„
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Tuwe tunatafuta maneno na majina yatakayotuletea Baraka na sio mikosi. Nawamba Viongozi wetu wa Simba mnapotafuta Maneno basi tafuteni yale yatakayoleta Baraka. ACHENI KUDANGANYWA NA WAZARAMO...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini. Subiri zicheze na na...
9 Reactions
14 Replies
968 Views
Wakuu, Katika maisha yako ya soka ni golikipa au makipa gani uliotokea kuwakubali zaidi katika soka la bongo,au Duniani kwa ujumla?
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakuu kuna mwenye Taarifa kwanini Azamu hawaoneshi Simba day? Maana Channel zote za Sports ni nyeusi, hazioneshi chochote
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Patashika ya Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup kuendelea kupigwa leo Mei 14, 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, anakipiga na TP Lindanda Wana Kawekamo Pamba FC, katika hatua...
8 Reactions
117 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…