Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Beki wa Vijana ataka uraia wa Italia JACKSON ODOYO MTANZANIA anayecheza soka Italia, George Mtemahanji amesema ataomba uraia wa Italia. Mtemahaji, ambaye anachezea Modena FC inayocheza Ligi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani kweli soka la bango *limejaa usanii mtupu!!!.Hivi karibuni Simba ilizindua kipindi cha runinga clouds tv.kwa mbwembwe nyiiingi.kwa kkuza *hilo nakuwasahaulisha wanasimba kuhusu uwanja wao...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Schneyder kutua Man January
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU source:JF hutaki acha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipa wa arsenal alishindwa kuvumilia na kuamua kumfuata muokota mipira(Ball -Boy) na kumkumbatia baada ya Theo Walcot kufunga goli la tano dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mechi iliyopigwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nampa nafasi kubwa Raphael Benitez, sababu mmoja ya makocha wazuri ambao hawana timu kwa sasa na inakuwa ni virahisi sana kumpata., tofauti na makocha wengine wanaopigiwa chapuo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I am perfectly sure Manchester city is champion of Barclay's premier league this session no body going to stop him surely so god bless Manchester city,Ameeeen....:lol:......City fans oyeeeee.
1 Reactions
4 Replies
879 Views
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote. Wanajamii; Wana JF Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana Jf Katika nchi yetu ya Tanzania tumekuwa ni watu wa kubadilisha makocha kila siku iendayo kwa mungu,tumekuwa ni watu wa kuongea sana mdomoni na kuwapangia kazi makocha wetu wa Taifa kwa kile...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari na picha kwa hisani ya mamapipiro blog.. WACHEZAJI wa zamani waliopata kuichezea timu ya soka ya Simba, Zamoyoni Mogella ‘Golden Boy' (kushoto) na Boniface Pawasa wamewaasa wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtakubaliana na mimi mashabiki wote wa mpira haijalishi wewe ni wa timu gani.Man ni kiboko,ukiangalia jinsi TOTENHAM walivyokuwa wana posses mpira hasa kipindi cha kwanza, halafu Man wakatumia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Robin van Persie scored a fantastic goal against Liverpool this weekend, beautiful long pass from Alex Song and The Viper scored what they call a beast goal, magical in nature. In December last...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Chelsea has just sacked Andre Villas Boas. UPDATE 1 Chelsea Statement Andre Villa-Boas has parted company with Chelsea Football Club today. The board would like to record our gratitude for his...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
kati ya maximo na poulsen,yupi zaidi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simba 2- Kiyovu 0 ni Halftim
0 Reactions
7 Replies
2K Views
sisi wakereketwa na wafurukutwa wa michezo tunaoipenda JF tunaomba Mods waanzishe jukwaa la michezo SIMBA YAIFUNGA TIMU YA KIYOVU YA RWANDA 2-1 Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
full tym results: SIMBA 2 - 1 KIYOVU Simba sasa kukutana timu toka Algeria. Maandalizi yaanze mapema kuwatoa waarabu. Hongera Simba, kazeni buti vijana!!
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Naamini Kiyovu kimekuja kuchukua point zake tatu muhimu. Hakika leo kiyovu kitatutoa kimasomaso. Mimi nakitakia kiyovu ushindi mwema wa magoli 3 bila. Bila shaka sasa hivi simba kiroho kinadunda...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…