Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiwa kama mchambuzi wa soka la kimataifa niliyebobea na pia muangalizi wa kimataifa (INTERNATIONAL OBSERVER) katika masuala ya soka nisiye na upendeleo wala ushabiki wa timu yoyote, huu ndio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wenger and Kagame
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AS Carlo Ancelotti reflects on his part in Chelsea's latest Champions League flop, he might wish to consider a damning statistic. During Tuesday's 2-1 defeat, Manchester United goalkeeper...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ABDUL MASHINE alikuwa mchezaji wa simba kipindi cha nyuma na baada ya hapo cjui alielekea wapi na anafanya nini baada ya soka.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hii imekaaje ! Leo asubuhi kipindi cha jambo leo walimwonyesha spika wa bunge akitanagaza kamati ya ufundi ya timu ya wabunge. [1] Steven Ngonyani aka Professor Maji marefu Mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21(kajiado kenya) amefariki kwa mshituko punde baada manU kufunga bao la kwanza.Citizen TV Kenya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HUYU DADA AND KIPAJI bonyeza hii link chini 坦桑尼亚女é'年的球技 - 视é¢' - 优酷视é¢' -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shabiki wa chelsea bi Tabitha Nyambura mwenye miaka 21 (Kajiado - Kenya) amefariki kwa mshituko punde baada Man U kufunga bao la kwanza. RIP Tabitha Chanzo: Citizen TV Kenya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kumekuwa na maneno mengi kabla na hata baada ya mechi kati ya yanga na toto africans jumapili kuwa timu hizi ni baba na mwana kiasi cha kupelekea mechi hiyo kutokuwa na ushindani wa dhati hasa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Thomas Ulimwengu one of the Tanzania's U-23 rising star African men ready for 2012 Olympic qualifying draw There will be 17 men's teams in Wednesday's draw for the second round...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The draw: Algeria v Zambia Morocco v RD Congo Congo v win Cote d’Ivoire/Liberia Gabon v Mali Sudan v Egypt Benin v South Africa Tunisia v Senegal Tanzania v Nigeria The 16th qualified...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mafanikio yaliyofikiwa na timu yetu ya taifa vijana kwa kuitoa CAMEROON.na kuweka historia mpya ya soka nchini,kocha mzawa JAMHURI KIHWELU apewe mkataba rasmi na TFF na hii itawapa motisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bonyeza hapa. YouTube - Pepe kalle- Young africa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napata hisia kuwa yanga isingekuwa timu nzuri basi leo ubingwa ungekuwa wa simba. Kwanza nianze na Star t.v-hawa walisema watatuonyesha mambo yanavyojiri kwenye viwanja vya taifa na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
LONDON, England KOCHA Carlo Ancelotti amekiri kuwa Chelsea inatakiwa kubadilika haraka kama wanataka kuendelea kubadi kwenye Ligi ya Mabingwa hapo kesho watapocheza dhidi ya Manchester United...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi ningependa kufahamishwa juu ya sheria na taratibu zinazozingatiwa wakati wa kampeni za kufuzu na fainali zenyewe kwa mashindano yanayozingatia umri.Hivi majuzi tu kulikuwa na hoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani sijawahi kufuatilia ligi. Lakini jana nikajikuta na haha kupiga simu kwa wadau mbalimbali ili kupata matokeo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...Yule mshambuliaji wetu hatari Ngasa alichaguliwa kukipa nguvu kikosi chetu cha Manyara Stars(U-23) lakini cha kushangaza hata kwenye orodha ya wachezaji waliotakiwa kulitetea Taifa letu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya sasa wana arsenal,stan kroenke,mfanya biashara wa kimarekani amenunua 16.1% ya hisa za lady nina bracewell-smith na 15.9% za danny fiszman na hatimaye kufikisha 62% ya umiliki katika club ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAO la kisigino la kiungo wa Yanga, Nurdin Bakari lilitosha kufuta ndoto ya Simba ya kutetea ubingwa wake pamoja karamu ya mabao 4-1 dhidi ya Majimaji na kutawala kadi nyekundu na kwenye Uwanja wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…