Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

...WanaJF tupeni updates za game la Cameroon na Manyara Stars... wengine presha inapanda na kushuka....
0 Reactions
148 Replies
12K Views
Hureeeeeeeee!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi, tujadili hili: Hivi TFF imejipanga vipi kukabiliana na uwezekano wa suala la kupanga matokea katika mechi mbili zihusuzo watani wa jadi -- Simba na Yanga leo? Nasema hivi kwani uko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo Vijana wametufurahisha sisi wapenda ushindi kwa timu zetu za Taifa, ikizingatiwa tumeitoa timu ya taifa ya vijana ya Cameroon...., Mashabiki leo ndio wameonyesha kuwa sasa hawataki kuonewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabingwa wa dunia wa Formula 1 msimu uliokwisha wanaonyesha dhahiri kuwa msimu huu pia watakuwa moto wa kuotea mbali. Mie ni mshabiki wa Ferrari ningependa ifanye mambo yake lakini naona kama wana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...................Manyara Stars 4 vs Cameroon 3 kwa penati................BRAVO MANYARA STARS...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DUNIANI kuna michezo mingi inayopendwa kuchezwa na watoto ikiwa kama sehemu yao ya kujiburudisha, kujifurahisha na kutengeneza undugu na urafiki wa dhati baina yao. Tanzania mchezo unaopendwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vialli open to Juve call hehehe this is good news for Juve & Seria A funs!! Former Chelsea boss Gianluca Vialli has revealed he would be interested in the Juventus job if they came calling...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...Wale wanaJF ambao mmekuwa mkifatilia soka letu la Tanzania linalokua kwa kiwango kinachoridhisha,hivi kati ya JUMA KASEJA JUMA na SHAABAN KADO nani zaidi....?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mpenzi wa mpira nimeshangazwa na shortlist ya PFA Award ya msimu huu. Waliochaguliwa ni (seniors) Samir Nasri, Charlie Adam, Carlos Tevez, Gareth Bale, Scott Parker na Nemanja Vidic...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mashirika ya Utangazaji ya Umma ni Wajibu wenu kupromoti matukio ya kitaifa ikiwa ni pamoja na kuonesha mechi za Timu ya Taifa.........................siku hizi ni kama mnajisahau vile
0 Reactions
1 Replies
2K Views
...Wana JF nimekuwa nikipata shida kujua kati ya hizi timu kubwa za soka la BONGO yaani SIMBA na YANGA nani anawashabiki wengi hapa Tanzania na other East Africa countries.......? Mwenye data...
0 Reactions
25 Replies
30K Views
Ligi ya Tanzania bara itafikia kilele tarehe 10/04/2011. Timu zote zinatakiwa kushinda kwa idadi kubwa ya magoli ili kutwaa ubingwa. Yanga inatakiwa kuifunga Toto, wakati Simba inatakiwa kuifunga...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wadau tunaomba updates za mpambano huu...nawakilisha
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wayne Rooney amesema "amesikitishwa" kwa kukosa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester City, baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na kutakiwa kutumikia adhabu ya kutocheza mechi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona yule mcheza basketball maarufu kule US LeBron James ameamua kuwekeza kwenye timu bora na yenye mafanikio zaidi England. LeBron James to hold minority interest in Liverpool Football Club -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania Football Federation Kwa kweli nimevutiwa na tovuti ya TFF ilivyo sasa hivi mara ya mwisho kuitembelea ilikuwa haivutii kabisa hivyo niliachana nayo, lakini leo nimeipitia inavutia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila week end napata presha kabisa, yaani timu ua vitu ninavyo shabikia kwa sasa vyote ni hovyo kabisa. football Tz: Yanga Footbal UK: Arsenal Footbal Spain: Real Madrid Formula 1: Ferrari Moto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natamani mechi ya mwisho ya ligi mwaka huu ingekuwa ya Yanga Vs Simba . Nadhani TFF nao wanamezea mate kupita maelezo ila ndio ishatoka hivyo. Kwa wapenzi wa Simba iwapo Yanga itashinda bao 1-0...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SIMBA:Klabu ya Esperance imethibitisha kwamba mchezaji Javier Besala Bokungu aliyeichezea Mazembe katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba ni mchezaji wao halali. Kwamujibu wa habari zilizopatika...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…