Wrestlemania 27 took place in
Atlanta, Georgia on April 3, 2011.
The
largest event in wrestling was a
massive spectacle, featuring the
biggest names in the WWE, including
old-timers like...
Jamani naomba kupata updates za mechi kati ya Simba na maafande wa Ruvu JKT unaochezwa leo kwenye shamba la Bibi Temeke mwenzenu niko mbali sina njia ya kupata matokeo zaidi ya hapa jamvini...
Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger...
Ktk mambo yaliyokuwa ya kujifunza na kuvutia kutoka kwa washangiliaji wa tp mazembe ni namna ambavyo walikuwa na mori na kuhamasisha wachezaji wao toka mwanzo hadi mwisho wa mchezo.Namna ile...
Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:-
Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti...
Baada ya kipigo cha Simba toka kwa TP Mazembe nimeanza kuhisi huenda na majina ya timu yana mchango katika ushindi hata kabla ya mechi, mfano jina kama TOUT POUISANT MAZEMBE ENGLEBERT linatisha...
Sosthenes Nyoni
NDOTO ya mabingwa wa Tanzania, Simba kusombe kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imebaki hadithi baada kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa TP Mazembe jana kwenye Uwanja...
Nilibahatika kuangalia mechi ya simba na tp mazembe pale uwanja wa Taifa,kwa kweli pamoja na simba kufungwa lkn nilikuwa na furaha kubwa sana cku ile kutokana na na performance iliyoonyeshwa na...
Wakati nafuatilia habari za michezo kupitia taarifa ya habari ya channel ten mtangazaji alidokeza kuwa kuna shabiki mmoja alichomwa kwa kisu na kufa kariakoo kutokana na ushabiki baaada ya mechi...
Ni moja kati ya wachezaji mahiri na mwenye uwezo mkubwa ambaye ukimtazama jinsi anavyopokea mpira na kutoa pasi na anavyojiweka katika nafasi pia uwezo mkubwa wa kuwa na mpira mda mrefu.
My...
Heshima mbele wakuu.naomba kujuzwa ni station gani ya tv inarusha live hili tukio na muda plse ili sie wa mikoani tuweze shuhudia.nawatakia jumapili njema