Wakuu, mechi ya kili stars ndo hiyo inaanza katika mashindo haya ya challenge. Nsajigwa ndo kapteni. Ruhusa ya kuingia free imesaidia wabongo wengi kuingia uwanjani ili kuisapoti timu yao. Je...
KATIBU mkuu wa Baraza la Vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Nichaolaus musonye amepongeza mahudhyuria makubwa ya mashabuiki wa soka, lakini akashangaa kuona Watanzania wanapenda...
Kwa wale wapenzi wa Soccer sote tunamfahamu Mrisho Ngassa bila shaka yoyote.
Katika hii michuano ya Challange wote mtakubaliana na mimi kwamba iz game 2 za Kilimanjaro stars zilizopita uwezo wa...
Wakuu wana JF naomba nijulisheni. Je ni kweli kuwa mchezaji wa kwanza aliyevunja mwiko kwa kuhama timu kati ya Simba na Yanga ni Ezekiel Greyson aliyehamia Simba akitokea Yanga?
Ndugu wana Watanzania. Kwa kweli Mkoa wetu wa Kilimanjaro umepoteza dira katika michezo ya aina mbalimbali ikiwemo soka. Toka enzi za USHIRIKA kucheza ligi kuu umepotea kabisa na kuacha vijana...
Kuna hili suala la kocha wa Timu ya Taifa kufundisha Kilimanjaro Stars wakati Zanzibar pia kuna timu nyingine.
Nadhani kuna haja ya kocha wa Taifa aendelee kubaki kuwa wa Taifa na michuano kama ya...
MABAO mawili ya mchezaji wa Ethiopia, Shemelles Godo katika kipindi cha kwanza yalitosha kuifungasha Kenya virago kwenye michuano ya Tusker Chalenji baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1, huku...
JUMLA ya wachezaji 26 wamesajiliwa na klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara katika dirisha dogo lililofikia ukomo juzi tayari kwa kuanza mzunguko wa pili unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 15...
Ndugu zangu wana JF,Huyu Mzee kwa mwendo huu wa kusuasua wa taifa Stars chamoto atakipata na sisi tulivyo tunategemea kushinda muda wote,wenzangu mnaonaje mwenendo wa timu yetu ya Taifa.
Wapendwa habarini za ukweli
naamini wote ni member wa ukweli na uwazi hasa kwenye mtandao huu wetu wenye furaha na kila aina ya madoido duniani..nimeona magazetini kuna habari za usajili mara...
Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe!
Kweli Man U hamjatutendea haki...