Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.
Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma...
Tumeshindwa kuwa na Subira! Yaani kipa namba moja anaumia tu kdgo, unaingia sokoni kutafuta kipa mwingine, stori kama hii ilitutokea mwaka jana, alipopona Manula, tukajikuta tuna makipa...
Nyota mpya wa klabu ya Yanga Sc, Chadrack Boka bado hana uhalali wa kuwatumikia waajiri wake hao wapya baada ya klabu ya FC Lupopo kushindwa kuipatia Yanga Sc Cheti cha Uhamisho wa Kimataifa (ITC)...
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief!
Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote...
Sina la kusema winga ya ball mzee wa kuwasomba mabeki Hana mpinzani pale Cairo watu walivunjika miguu kwa vyenga vya mikas kwa winga ya ball Kutoka msimbaz
Natumai mzee wa mahesbu aka MWASIBU...
Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda.
Onana amesaini Mkataba wa miaka miwili...
Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica.
Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo...
Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc.
Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu alisema yeye ni Yanga Lia Lia lakini kamwe hawezi kuvaa Jezi za Wananchi kwa sababu ya rangi zake
Nadhani Sheria Ngowi amemsikia na kumletea Uzi...
Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.
Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa...
Anaandika Idd Rashid (Iddmastory).
Alessandro Del Piero alizaliwa Novemba 9, 1974 huko nchini Italia katika familia ambayo baba yake alikuwa ni fundi umeme na mama yake akiwa ni mama wa nyumbani...
Mimi ni simba damu na nakubali mlitupiga kono la nyani aka hamsa.
Ila sasa mnachokifanya ni sifa zilizopitiliza kuweni na utu na huruma japo kidogo.
Ndio nini kutuwekekea kono la nyani kwenye...
Kuna mapambano ya Rizen3 yanarushwa muda huu Azam Tv, watu wanachapana ngumi kama wanataka kuuana, ni fight kali sana zinazoendelea.
Nikawa najiuliza hawa wenzetu wana train vipi mazoezi yao...
Mnyonge mnyongeni ila Azam kwa hii bei na mifumo ya kikodi ya nchi yetu, gharama za uendeshaji hasa ukizingatia dollar ilivyo juu mimi naona malipo ya 910 per day sio mbaya.
Kwa wale wenye...
Pamoja na kwamba soka ni mchezo wa ushindani, lakini pia ni sehemu ya kuunganisha watu, kwa maana ya kutengeneza mahusiano mema katika Jamii.
Kitendo walichokifanya Yanga, cha kuweka kiganja cha...