Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania
10. GB 64
Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya...
SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, huku ikimalizana na makipa Metacha Mnata na Beno...
Kabla ya kukurupuka kusajili wachezi, Simba wahakikishe wana safu bora ya uongozi na technical bench lenye ubora wa hali juu. Baada ya hapo ndipo hilo benchi bora la ufundi lifanye kazi ya...
Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga...
Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu.
GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa...
Karibu katika speacial thread ya Copa America 2024 inayoendelea kule USA,
Tutakua tunaendelea kupeana updates hapa kwa yanayoendelea
Mpaka sasa ni Team tatu pekee zimeonyesha kiwango cha juu sana...
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?
Simba kjikite...
Kontena zaidi ya mbili zenye jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni mbili zimekamatwa kwenye ghala moja lililopo eneo la Chang’ombe Jijini...
Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na...
Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke
Metacha ndyo atak...
HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO
💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa...
As we head into the final round of group matches, here is a small piece on what we have learned so far.The first round produced plenty of goals, 34 in total and majority coming from strikes just...
Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa. Moja ya taarifa kubwa inayojadiliwa ni usajili wa mchezaji Lawi kutoka timu ya Coastal kwenda Simba. Hii ni baada ya timu ya Coastal kupitia kwa...
Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane!
Hivi huyu Beki anayeitwa "KISIKI CHA MPINGO" mliyemnunua kutoka huko kwa Ndugu zenu ndiye mnayemtegemea amkabe PACOME au labda kuna mwingine tuendelee...
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini...