Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana.
Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede...
Naaaje wazee!
Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni.
Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili...
Msilale bila kujikumbusha kwamba Charles Lecrec (Ferrari) mtoto wa miaka 26 kutoka Monaco, kashika namba 1 uwanja wa nyumbani, Circuit de Monaco kwa kutumia muda wa 2:23:15.554 (saa: dk : sekunde...
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza...
Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.
NB: Hawa...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na...
Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City.
Nakwenda kung'oa anyltena dish la...
Kama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo...
Habar Mwanajukwa.
Tanzania tuna penda Mpira sawa ila tuna ujinga mwingi sana.
Watanzania wapenda soka wapo tayar kuhatarisha maisha ya mchezaji kisa kitu flani tu.
Pacome mliambiwa na Kocha na...
We miss out alot of contents from other lower teams. my thoughts is less information is shared about these teams leading to fewer fans, and unknown good players.
My advice to Tanzania league...
"Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi.
Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama...