Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba. Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida. Kikosi cha kwanza cha...
13 Reactions
512 Replies
20K Views
Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani...
3 Reactions
6 Replies
514 Views
ROBERTINHO: 5IMBA ILIYOPIGWA 5 NA YANGA HAINA TOFAUTI NA HII. "Sielewi kilichofanya wakanifukuza sababu Kila nikitazama 5imba wanacheza vile vile hakuna kilichoongezeka" "....kama walishinda 6_0...
4 Reactions
15 Replies
857 Views
Bayer 04 Leverkusen leo ipo uwanjani kukipiga na werder Bremen majira ya saa 06:30 pm (12 na nusu jioni). Ikumbukwe kwamba Bayer Leverkusen wanaongoza ligi ya Bundesliga wakiwa na point 76 huku...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua. Kikao kimeenda vizuri. NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu...
0 Reactions
10 Replies
760 Views
JUSTIN: Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba,Imani Kajula amefutwa kazi ndani ya Klabu hiyo kufuatia kufanya vibaya kwa Simba. Je nani anafuata?
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris. Wadau hamjamboni nyote? Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la...
1 Reactions
6 Replies
650 Views
Moja kwa moja .. Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl...
19 Reactions
87 Replies
5K Views
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa...
1 Reactions
3 Replies
314 Views
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL. Africa ujanja ujanja kila sehemu Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Bayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa . Game imeisha .
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna vyombo vya habari mbalimbali vimeripoti kuwa Legend wa Team ya TP Mazembe na Team ya Taifa ya Zambia Chipolopolo Rainford Kalaba amepata ajali mbaya ya Gari na amepoteza maisha. Msemaji wa...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakati Klabu ya YANGA inalalamika kutolewa kwenye Robo Fainal na Klabu ya MALELODI ya Afrika ya kusini kwa kudai kuna Upangaji wa Matokeo Leo ktk Mchezo wa YANGA vs SINGIDA kumetokea Tukio la...
0 Reactions
11 Replies
776 Views
Wapenzi wote na wanachama wa Yanga,soup day jangwani.
1 Reactions
1 Replies
535 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…