Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni. NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA...
3 Reactions
17 Replies
786 Views
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze. Sasa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni...
4 Reactions
10 Replies
946 Views
Katika Hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Yanga ... maarufu kama wananchi mtandaon wamefurahia timu yao kupigwa rungu la usajili ambapo ingekuwa timu nyingine wangeanza kilio Hizi ni baadhi ya...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu Simba na Belouzedad hamna...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
MASHABIKI WA SIMBA SC MKO WAPI? Yanga wanaizungumzia Yanga na Simba wanaizungumzia Yanga. WanaYanga wameonesha kuumizwa sana kwa Yanga yao kutolewa. WanaSimba wanaonesha kufurahi sana na hata...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Jerome Damon Refarii Mstaafu na Mkufunzi wa matumizi ya VAR wa FIFA, ameungana na maamuzi ya kulikataa goli la Yanga dhidi ya Mamelod sundown. Damon amesema Kwa Sheria ya VAR kwanza kunakuwa na...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili. Imtaje Nina kamili la...
2 Reactions
5 Replies
998 Views
Kama kuna mdau hunu ana taarifa kuhusu ule uwanja wa Geita unaojengwa umefikia wapi?
1 Reactions
6 Replies
442 Views
Ije Mvua ije Jua iwe usiku iwe jioni na siku ileile 5imba yaenda kupigwa tena ila huenda zikapungua kiasi endapo watacheza kwa kujituma ingawa hawawezi kupenya ukuta mgumu walioshindwa masandawana...
2 Reactions
6 Replies
368 Views
Siyo Mimi Mjumbe hauwawi NB: Miye ni mwanayanga ila Nina wasiwasi na hiyo tarehe 20 matokeo yanaweza kuwa kinyume Yanga anaweza chezea parachute Aahaaaa Ihefu msiniangushe,zile tano...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio...
12 Reactions
185 Replies
6K Views
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali...
6 Reactions
21 Replies
862 Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi. Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo...
0 Reactions
7 Replies
495 Views
Ni kama mzaha mzaha lakini ninaiona timu hii ikiwa chini sana na ikibaki premier ni kwa sababu za kisiasa tu ili utani wa yanga na simba usife. Sote tuliona jinsi African Lyon ilivyokufa na...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young...
4 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…