Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya...
Habari
Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA.
ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea.
Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA...
Namsikiliza kwenye radio free sahizi anasema Simba nafasi ya ubingwa tunayo timu iko imara, mashabiki waache kulalamika,huwezi kuwa mbovu wakati umefika robo fainali club bingwa, upo nafasi ya...
Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.
Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma
Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji...
Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta...
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea...
Wengi wamekata tamaa na litimu lao na wameahidi kuwa hawataingia uwanjani na hata wakiwa mahome kwao watageuza visogo wasiangalie mechi kati ya YANGA mwenyeji yaani na Simba.
Mmojawapo nadhani...
Mashabiki wa simba na watu wote wapenda Mpira niwaambie tu hivi kua GONGO ni GONGO No Matter ipo kwenye Chupa gani.
Ujue Mashabiki wa Mpira Hasa Simba kwa hapa Tanzania wanaongoza kwa kushabikia...
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, hivyo basi TFF na Bodi ya ligi inapaswa kuwalinda mashabiki kwa kutengeneza mikakati maalumu.
Kumekua na kasumba...
Hellow Wana JF.
Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.
Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA...
Kurusha mawe kwa Mangungu ni kupoteza muda tu, hata ikitokea kajiuzulu Mambo yatakua hivyo hivyo tu.
Mangungu anatumika ana watu nyuma ya Pazia Hana sauti na Hana uwezo wowote wa kupambana na...
Kwenye bara la Amerika Kusini, kuna makombe 10 ya dunia ambayo nchi za bara hilo zimeshinda, ukiachana na maajabu ya soka kuna maajabu yao ambayo huwezi kuyapata bara lingine.
Nchi kama Bolivia...
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo...
Je, Huyu Mchezaji ni nani?
Ameshinda
Ballon d'Or
Copa America
La Liga
Copa del Rey
Kombe la Dunia
Klabu Bingwa Dunia
Mfungaji Bora World Cup
Mfungaji Bora Ulaya
Mchezaji Bora Ulaya
Amecheza...